Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Jamani, neno "Nyoko" ni tusi...tena kubwa tu, nimeshangaa mwaka 2014 limekua sifa na hadi kuimbwa kwenye nyimbo na kupigwa redioni na kwenye TVs, saivi mtu akikwambia ww ni nyoko ati anamaanisha ww mkali...una akili sana...umetisha!! hii nchi siielewi elewi.
 
Nyoko siyo tusi.

Nyoko maana yake ni 'mama yako'

Nikisema 'msalimie nyoko' maana yake ni 'msalimie mama yako'.

Hakuna tusi hapo.

Jifunzeni Kiswahili!

He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.

Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.

Labda kwa lugha nyengine za kikabila.
 
Hata mimi kwa lugha yangu ya asili ni mama..sio tusi
 
duuh

ila hili tusi silipendi
CHOKO WEWE japo sieleqi maana halisi ya choko
 
He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.

Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.

Labda kwa lugha nyengine za kikabila.

Hahahaaaaa hakika basi hukijui Kiswahili sanifu.

Kama una kamusi ya Kiswahili hapo ulipo, hebu ifungue ulitafute halafu uje hapa unambie ulichokiona.

Nina shaka kama kweli wewe ni Mswahili.
 
He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.

Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.

Labda kwa lugha nyengine za kikabila.

Hicho ni kibantu, km kiswahili ni kibantu na hilo neno bilashaka ni kiswahili. Na kunabaadhi ya makabila wanalitumia likiwa na maana "mama" au "mamayo", au "mama yako". Lilikuwa linaonekana km tusi kwakua walikuwa wanafupisha tusi la " **** nyoko"
 
Nyoko ni kiswahili,hata kwa makabila ya wahaya na wanyambo nyoko =mama,but tukubaliane kuwa matumizi yake ya awali lilikua likitumika kama tusi likianza na "prefix" inayotaja kiungo cha uzazi cha kike!
 
papuchi nyoko
 
Nyoko kwa kihehe ni mama, unyoko mama yako.
 
Nyoko kwa wahaya ni mama

Hata kwa Kiswahili maana yake ni 'mama yako'.

Ndo maana hata kukawa na tusi la 'k.uma nyoko' likimaanisha 'k.uma ya/la mama yako'.

Nadhani hapo ndipo panapowafanya watu wadhanie 'nyoko' ni tusi.

Lakini neno tu lenyewe la 'nyoko' siyo tusi.

Tafuta kamusi yoyote ile ya Kiswahili sanifu uone maana yake.

Najua wanaobisha hawajajihangaisha hata kufungua kamusi na kusoma kabla hawajaanza kubisha.
 
Hata kwa Kiswahili maana yake ni 'mama yako'.

Ndo maana hata kukawa na tusi la 'k.uma nyoko' likimaanisha 'k.uma ya/la mama yako'.

Nadhani hapo ndipo panapowafanya watu wadhanie 'nyoko' ni tusi.

Kwa hiyo neno tu lenyewe la 'nyoko' siyo tusi.

Nakubaliana na wewe kabisa! Ila nilikuwa sijui kama ni neno la kiswahili pia!
 
Nyoko ni kiswahili,hata kwa makabila ya wahaya na wanyambo nyoko =mama,but tukubaliane kuwa matumizi yake ya awali lilikua likitumika kama tusi likianza na "prefix" inayotaja kiungo cha uzazi cha kike!

Ni kweli, ukilitumia kwa kutanguliza kiungo cha uzazi basi unakuwa umetamka tusi.

Hilo tusi linakuwa halijaundwa kwa neno moja. Limeundwa kwa maneno mawili ambayo ni 'k.uma' na 'nyoko'.

Hivyo, maana ya hayo maneno mawili inakuwa tusi kwa mama (nyoko) kwa sababu umemtukana kwa kutaja kiungo chake cha uzazi 'k.uma'.

Lakini neno 'nyoko' tu lenyewe si tusi.

Hata kwa Kisukuma, neno 'noko' maana yake ni 'mama yako'.

Ukitaka kumtukania mtu mama yake basi unasema "nya'noko" au "nyo ya noko"
 
Nyoko si tusi bali linamaanisha mama. Wakati tukikuwa mtu aliunganisha k$m@ +nyoko ndio tusi ni sawa na ....
 
Back
Top Bottom