Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Nyoko siyo tusi.
Nyoko maana yake ni 'mama yako'
Nikisema 'msalimie nyoko' maana yake ni 'msalimie mama yako'.
Hakuna tusi hapo.
Jifunzeni Kiswahili!
He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.
Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.
Labda kwa lugha nyengine za kikabila.
Hata mimi kwa lugha yangu ya asili ni mama..sio tusi
He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.
Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.
Labda kwa lugha nyengine za kikabila.
Nyoko siyo tusi.
Nyoko maana yake ni 'mama yako'
Nikisema 'msalimie nyoko' maana yake ni 'msalimie mama yako'.
Hakuna tusi hapo.
Jifunzeni Kiswahili!
Nyoko ni kiswahili,hata kwa makabila ya wahaya na wanyambo nyoko =mama,but tukubaliane kuwa matumizi yake ya awali lilikua likitumika kama tusi likianza na "prefix" inayotaja kiungo cha uzazi cha kike!
Nyoko kwa wahaya ni mama
nyoko linyooNyoko kwa kihehe ni mama, unyoko mama yako.
Hata kwa Kiswahili maana yake ni 'mama yako'.
Ndo maana hata kukawa na tusi la 'k.uma nyoko' likimaanisha 'k.uma ya/la mama yako'.
Nadhani hapo ndipo panapowafanya watu wadhanie 'nyoko' ni tusi.
Kwa hiyo neno tu lenyewe la 'nyoko' siyo tusi.