Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa


chukua like mkuuu
mi ni mswahili safi..na nakumbuka huku kwetu kwa waswahili wenzangu likitumika ivo..ila sikua najua kama asili ake lipo ivo
shukran kwa elimu ulotoa
 
Dah! Sijui umewaza nn mpaka ukafikia hapa. Wewe ni nyoko!
 
Makabila mengine kama wazigua wanatumia "Nyokwe"....likiwa na maana mama.....ni neno saw a na "Nyoko"
 

"NYOKO" ni neno la kihaya, limanisha "MAMAKO"
 
Nyoko siyo tusi.

Nyoko maana yake ni 'mama yako'

Nikisema 'msalimie nyoko' maana yake ni 'msalimie mama yako'.

Hakuna tusi hapo.

Jifunzeni Kiswahili!

na nikisema swela nyoko namaanisha nn wewe sio mtz
 
Unyoko=mama ni kimakonde cha wap ambacho mama anaitwa nyoko...?
 
Nlivoenda kenya miaka ya zamani kdg hawa jamaa neno "nyoko" wanalitumia sana sio kama tusi, labda wametula gepu kwenye misamiati ya kiswahili
 

umetisha nyani ngabu kweli we ni mswahili haswaa!
 
Mmmh.. nyoko tusi buana... watu utasikia "nyoko we" au "we nyoko nn"
 
He he.. Sikujua. Kwa hiyo 'k.uma nyoko' ni 'k.uma ya mamako'? Aisee kiswahili sijakijua bado!!
 
Tusi ni pale utaposema maku nyoko....ila neno nyoko cyo tusi....
 
Sasa hawa wasiojua kuwa 'nyoko' ni mama ni watu wa wapi hawa?

Mwingine kasema kabisa eti yeye ni mtu wa Pwani lakini hajawahi kulisikia hilo neno.

Ni mimi niliyesema sijasikia neno hilo kumaanisha mama na siyo sijawahi kulisikia.

Sasa angalia hao wanaosema wanatumia (Wahaya, Wanyakyusa...) jee ni wa pwani?
 
Ni mimi niliyesema sijasikia neno hilo kumaanisha mama na siyo sijawahi kulisikia.

Sasa angalia hao wanaosema wanatumia (Wahaya, Wanyakyusa...) jee ni wa pwani?

Hivi una hata kamusi ya Kiswahili wewe?

Sijui upo wapi lakini hapa Dar zipo zinauzwa sehemu mbalimbali.

Kama huna nunua walau hata moja tu.

Unaweza ukanunua ya TUKI au ya Oxford, ili mradi iwe ya Kiswahili tu. Nunua halafu utazame neno nyoko uone lina maana gani kwenye Kiswahili.

Jingine la muhimu sana ambalo inaonekana hulijui ni kwamba, Kiswahili kinaundwa na mchanganyiko wa lugha kadhaa zikiwemo Kiingereza, Kiarabu, Kihindi, Kireno, Kijerumani, na zinginezo.

Lakini muhimu zaidi Kiswahili kinaundwa pia na lugha za Kibantu na ndo sababu unaona wapo wengine wanasema kwenye Kilugha chao neno nyoko linamaanisha mama.

Kuna maneno mengi tu ya Kiswahili ambayo yameazimwa kutoka kwenye lugha za Kibantu. Unazijua lugha za Kibantu wewe?
 
He he.. Sikujua. Kwa hiyo 'k.uma nyoko' ni 'k.uma ya mamako'? Aisee kiswahili sijakijua bado!!

Faza, kama una kamusi ya Kiswahili hapo fungua halafu uangalie neno 'nyoko' uone fasili yake.

Mara nyingi watu tunapenda kusadiki kuwa tunakijua Kiswahili kwa sababu tu 'inaonekana' tunakiongea vizuri bila shida lakini msamiati wetu unakuwa si mpana kivile.

Kama una kamusi ya Kiswahili (inavyoelekea kuna watu wengi hawana kamusi za Kiswahili majumbani mwao) wewe litazame tu hilo neno uone.
 

Sina kamusi ya swahili-Swahili. Hapo ndio shida inaposnzia. Ni kweli kuwa tunasema kiswahili tunakijua lakini hatuna misamiati mingi. Kweli sikujua nyoko ni mama yako..!
 

Ni kweli sina kamusi ya kiswahili.

Hizo za TUKI ndiyo zimejazwa maneno ya kuunda ambayo si kiswahili bali ni lugha nyengine kabisa. Najua sana kwamba kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi (nimekwambia nimezaliwa pwani umesahau?)

Najua utanipinga lakini hayo ndiyo maoni yangu.
 

Sasa nikupinge kwa lipi tena wakati ushakubali kwamba Kiswahili ni mjumuiko wa lugha kadhaa?

Ukishalikubali hilo huwezi kukataa kwamba 'nyoko' si neno la Kiswahili na maana yake ni 'mama yako'.

Hivyo kimsingi hakuna tena unachokataa wala kubisha.

La, kama utaendelea kubisha basi nitafutie wewe kamusi ya Kiswahili kwa Kiswahili isiyo na neno 'nyoko', kama unaweza.

Au nitafutie yenye fasili tofauti na niliyoitoa mimi.

*Swali la nyongeza tu kupima ujuzi wako wa Kiswahili:* neno 'shule' ni la Kiswahili ama si la Kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…