samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
choko ni bwabwa kiswahili sanifu ni .........................Choko ni bwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
choko ni bwabwa kiswahili sanifu ni .........................Choko ni bwabwa
Hata kwa Kiswahili maana yake ni 'mama yako'.
Ndo maana hata kukawa na tusi la 'k.uma nyoko' likimaanisha 'k.uma ya/la mama yako'.
Nadhani hapo ndipo panapowafanya watu wadhanie 'nyoko' ni tusi.
Lakini neno tu lenyewe la 'nyoko' siyo tusi.
Tafuta kamusi yoyote ile ya Kiswahili sanifu uone maana yake.
Najua wanaobisha hawajajihangaisha hata kufungua kamusi na kusoma kabla hawajaanza kubisha.
Dah! Sijui umewaza nn mpaka ukafikia hapa. Wewe ni nyoko!Jamani, neno "Nyoko" ni tusi...tena kubwa tu, nimeshangaa mwaka 2014 limekua sifa na hadi kuimbwa kwenye nyimbo na kupigwa redioni na kwenye TVs, saivi mtu akikwambia ww ni nyoko ati anamaanisha ww mkali...una akili sana...umetisha!! hii nchi siielewi elewi.
He Nyani Ngabu mimi ni mzaliwa wa humu pwani na sina lugha nyengine zaidi ya kiswahili.
Lakini sijawahi kusikia neno hilo likiwa na maana ya 'mama', bali si neno zuri kulisema hadharani kama alivyoongea huyu mleta mada.
Labda kwa lugha nyengine za kikabila.
Nyoko siyo tusi.
Nyoko maana yake ni 'mama yako'
Nikisema 'msalimie nyoko' maana yake ni 'msalimie mama yako'.
Hakuna tusi hapo.
Jifunzeni Kiswahili!
Hata kwa Kiswahili maana yake ni 'mama yako'.
Ndo maana hata kukawa na tusi la 'k.uma nyoko' likimaanisha 'k.uma ya/la mama yako'.
Nadhani hapo ndipo panapowafanya watu wadhanie 'nyoko' ni tusi.
Lakini neno tu lenyewe la 'nyoko' siyo tusi.
Tafuta kamusi yoyote ile ya Kiswahili sanifu uone maana yake.
Najua wanaobisha hawajajihangaisha hata kufungua kamusi na kusoma kabla hawajaanza kubisha.
Sasa hawa wasiojua kuwa 'nyoko' ni mama ni watu wa wapi hawa?
Mwingine kasema kabisa eti yeye ni mtu wa Pwani lakini hajawahi kulisikia hilo neno.
Ni mimi niliyesema sijasikia neno hilo kumaanisha mama na siyo sijawahi kulisikia.
Sasa angalia hao wanaosema wanatumia (Wahaya, Wanyakyusa...) jee ni wa pwani?
He he.. Sikujua. Kwa hiyo 'k.uma nyoko' ni 'k.uma ya mamako'? Aisee kiswahili sijakijua bado!!
Faza, kama una kamusi ya Kiswahili hapo fungua halafu uangalie neno 'nyoko' uone fasili yake.
Mara nyingi watu tunapenda kusadiki kuwa tunakijua Kiswahili kwa sababu tu 'inaonekana' tunakiongea vizuri bila shida lakini msamiati wetu unakuwa si mpana kivile.
Kama una kamusi ya Kiswahili (inavyoelekea kuna watu wengi hawana kamusi za Kiswahili majumbani mwao) wewe litazame tu hilo neno uone.
Kamponiye unyoko maaana yake kamsalimie mama yako
Hivi una hata kamusi ya Kiswahili wewe?
Sijui upo wapi lakini hapa Dar zipo zinauzwa sehemu mbalimbali.
Kama huna nunua walau hata moja tu.
Unaweza ukanunua ya TUKI au ya Oxford, ili mradi iwe ya Kiswahili tu. Nunua halafu utazame neno nyoko uone lina maana gani kwenye Kiswahili.
Jingine la muhimu sana ambalo inaonekana hulijui ni kwamba, Kiswahili kinaundwa na mchanganyiko wa lugha kadhaa zikiwemo Kiingereza, Kiarabu, Kihindi, Kireno, Kijerumani, na zinginezo.
Lakini muhimu zaidi Kiswahili kinaundwa pia na lugha za Kibantu na ndo sababu unaona wapo wengine wanasema kwenye Kilugha chao neno nyoko linamaanisha mama.
Kuna maneno mengi tu ya Kiswahili ambayo yameazimwa kutoka kwenye lugha za Kibantu. Unazijua lugha za Kibantu wewe?
Ni kweli sina kamusi ya kiswahili.
Hizo za TUKI ndiyo zimejazwa maneno ya kuunda ambayo si kiswahili bali ni lugha nyengine kabisa. Najua sana kwamba kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi (nimekwambia nimezaliwa pwani umesahau?)
Najua utanipinga lakini hayo ndiyo maoni yangu.