Faza, kama una kamusi ya Kiswahili hapo fungua halafu uangalie neno 'nyoko' uone fasili yake.
Mara nyingi watu tunapenda kusadiki kuwa tunakijua Kiswahili kwa sababu tu 'inaonekana' tunakiongea vizuri bila shida lakini msamiati wetu unakuwa si mpana kivile.
Kama una kamusi ya Kiswahili (inavyoelekea kuna watu wengi hawana kamusi za Kiswahili majumbani mwao) wewe litazame tu hilo neno uone.
Sasa hawa wasiojua kuwa 'nyoko' ni mama ni watu wa wapi hawa?
Mwingine kasema kabisa eti yeye ni mtu wa Pwani lakini hajawahi kulisikia hilo neno.
hahahahahaahaha matusi ya kijijini haya enzi hizo. maana yake mkundu wa mama yako'nyoko linyoo
Hata wasambaa wanatumia neno "Nyokwe" likimaanisha mama mzaziMakabila mengine kama wazigua wanatumia "Nyokwe"....likiwa na maana mama.....ni neno saw a na "Nyoko"
Mkuu unamaanisha mtoa mada ni mama au ndiyo zile sifa alizotaja?Dah! Sijui umewaza nn mpaka ukafikia hapa. Wewe ni nyoko!
Mkuu,duuh
ila hili tusi silipendi
CHOKO WEWE japo sieleqi maana halisi ya choko