kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania nikiwemo tukivuka na madumu kwenda kudoea maji (kodi za wazambia) upande wa pili mpaka.
Bila aibu kabisa mchana kweupe kiongozi mkuu mgombea uraisi wa ccm bila kujali anavunja katiba ya inchi nakuondoa kabisa matumaini ya walipa kodi wa tunduma kueletewa maji na bila kujali hayo maneno ya aibu yanavuka na kusikika hadi upande wa zambia tunakodoea waji mgombea huyo bwana pombe alitamka kwamba wakazi wa tunduma wasipo chagua ccm hatokuja alete maji kwenye mji manaake bora tuendelee kudoea maji zambia (nakonde) ambako maji safi yapo tangu miaka ya themanini.
Mwendazake Mungu amlipe kadri ya matendo yoke.