Hili lilisemwa pale Tunduma: Eti msipowachagua wagombea wa chama changu sintoleta maji

Hili lilisemwa pale Tunduma: Eti msipowachagua wagombea wa chama changu sintoleta maji

Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania nikiwemo tukivuka na madumu kwenda kudoea maji (kodi za wazambia) upande wa pili mpaka.

Bila aibu kabisa mchana kweupe kiongozi mkuu mgombea uraisi wa ccm bila kujali anavunja katiba ya inchi nakuondoa kabisa matumaini ya walipa kodi wa tunduma kueletewa maji na bila kujali hayo maneno ya aibu yanavuka na kusikika hadi upande wa zambia tunakodoea waji mgombea huyo bwana pombe alitamka kwamba wakazi wa tunduma wasipo chagua ccm hatokuja alete maji kwenye mji manaake bora tuendelee kudoea maji zambia (nakonde) ambako maji safi yapo tangu miaka ya themanini.

Mwendazake Mungu amlipe kadri ya matendo yoke.
Mungu anatupenda watanzania.
Asante mungu kwa uliyotutendea hapo 17.3.
 
Alikuwa very low mind, halafu akakosa busara na hekima, na zaidi akawa katili, vyote hivyo halafu uchanganye na primitivity, halafu mtu wa namna hiyo akapewa madaraka ya juu kabisa, unategemea nini, zaidi ya vioja na mambo mengi ya hovyo?
 
Alikuwa ni mgonjwa wa akili, wengi hawakulibaini hilo mapema.
Aliwahi kupatiwa hata matibabu.

Lilikiwa jambo jema, Serikali kuweka wazi kuwa marehemu alikuwa mgonjwa wa akili. Hilo lingempa msamaha wa mambo yote ya hovyo aliyoyatenda.

Lakini wahusika wanaogopa kuweka wazi, maana tutawahoji, ilikuwaje waruhusu mgonjwa wa akili kuwa mgombea wa nafasi kubwa kama ile?
 

Ukiwa Na Chakula Chako Kitamu Huwezi Kumpa Mtoto Wa Jirani

Akiwa Kilosa Alimponda Mbunge Kumbe Ni Wa Ccm
Haa Akabadili Kauli Akasema Mbunge Hoyee
Na kusema "anafanya kazi nzuri Sana"
 
Siamini siasa za bongo na siamini chama chochote kile.
Ila nakwambia kwa mfumo wa serikali iliopo, serikali hii ambayo rais anaweza amua lolote na wengine wakafyata mkia.
Hiyo 2025 hakuna kitu mtafanya, kama kawaida chama tawala watafanya lao na mtabaki kunung'unika.

Uchaguzi ujao kwa sheria zile zile mtaambulia patupu. Either sheria zibadilike, au tume iu dwe upya otherwise matokeo yakuwa yale yale.. hii ndio bongo bwana
Sahihi kabisa, hakutakuwa na jipya kabisa
 
Lakini twende mbele turudi nyuma, kuna mambo jiwe alifanya mazuri, japo alisema ni hela zake ffs! Tumepitia mengi kama taifa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom