Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Sometimes NEGATIVITY PAYS...

#YNWA
Mtoa mada kwa jinsi ulivyojiaminisha akilini mwako kuhusu maswala mbalimbali ya maisha ya ndoa, mimi nimeoa lakini nakushauri USIOE, kwasababu tayari uko NEGATIVE kwenye maisha ya ndoa na hata ukioa hautakuwa POSITIVE. USIOE

Sent using Fly in any Weather.
 
Mkuu hapo kwenye namba moja hapo duh naunga mkono ila sasa kama utakuwa una watoto nae sio mbaya kugawana.
 
kama unaona unauchungu na mali yako mzee siku izi kuna Prenup Agreements unamsainisha mwanamke
agreements zina declare kakukuta na mali kiasi gani so hii ata baadae haitakusumbua mahakamani....
wao wataangalia mali gani zilitokea baada ya nyinyi kuoana hizo ndo mna gawana...
mbona Simple tu
 
Ni kweli kabisa,huwezi mpata mke akawa na matarajio yako yote ya mke umtakaye,
Wanasema MOST OF THE WOMEN ARE CRAZY DOGS...

Sijui huwa wanamaanisha nini...!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
kama unaona unauchungu na mali yako mzee siku izi kuna Prenup Agreements unamsainisha mwanamke
agreements zina declare kakukuta na mali kiasi gani so hii ata baadae haitakusumbua mahakamani....
wao wataangalia mali gani zilitokea baada ya nyinyi kuoana hizo ndo mna gawana...
mbona Simple tu
Asante.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Watu huwa tunaongelea mabaya zaidi ya mazuri ko ndoa zina uzuri wake sema ukiamua kusikiliza na kufocus kwenye ubaya ndo hayo yanatokea
Sometimes NEGATIVITY PAYS.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Hivi kwanini watu wakiongeaga ukweli huwa wanaomba msamaha? Kwanini ujisikie vibaya kwa kusema ukweli?
Kwa sababu watu hawapendi kuusikia ukweli! Na mimi napenda kusema ukweli ila sipendi kumuumiza mtu!
 
Sometimes tu... Sema usitafute mke usije oa wa afadhali badala ya unae mridhia kisa tu unataka mke... Mi ningekua wewe ningeenda na flow tu
Amen.
Thanks.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Back
Top Bottom