Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Kwanini uruhusu watu wakuamulie maisha yako?
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Ukishalitambua hilo hata hupati taabu.
 
Ukiwaza kwamba ukioa mkiacha mke atadai mali na mtagawana na huku umechuma mwenyewe .hutaoa.Piga moyo konde na uoe.
Tatizo ni kuuza Uhuru...

Kumuuzia MTU maisha yako ya Uhuru ili awe anakuamulia pia it needs courage..!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Kwanini uruhusu watu wakuamulie maisha yako?
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Ukishalitambua hilo hata hupati taabu.
Wengine tuna akili ndogo...

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Ha
Wanasema nimsubiri atakae nipenda ndio nioe... Sasa ndio namsubiri anipende tu kama ajali..!

Maana nikimpenda Mimi atanitesa na kujishaua..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Ahahaha haya msubirie akupende sasa.
 
Ukifika 50 ni kilio cha kusaga meno
Bezos kakimbia ndoa...
Dangote kagoma kuoa
Ruge kafa bila ndoa
Gadina mpaka Leo hajaoa
Isack Newton alikufa bila ndoa.
Mapadre wotee hawaja oa..

LIVE YOUR LIFE.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Bezos kakimbia ndoa...
Dangote kagoma kuoa
Ruge kafa bila ndoa
Gadina mpaka Leo hajaoa
Isack Newton alikufa bila ndoa.
Mapadre wotee hawaja oa..

LIVE YOUR LIFE.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Wanakasoro zao wanazozijua wao,wengine huwa ni miiko katika mafanikio yao
 
Back
Top Bottom