Hili limenipitaje, sikulijua na ndiyo nalijua leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kumbe Five Five za Kubahatisha kwa Wasiojua Baharini FC pamoja na Kutamba Kwao kote wana miaka 25 hawajacheza Group Stage ya CAFCL?

Kuanzia leo nawavua Vyeo vyote nilivyokuwa nimewapa nibaki tu Kuiheshimisha Klabu ya Mwenyezi Mungu na yenye Baraka zake zote ya Simba Sports Club.

Na niwashauri tu Mashabiki wa hiyo Klabu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) kuwa popote pale wakijua wamekutana na Mashabiki wa Simba SC wawe Wapole na Wanyamaze kwani hawajafikia hata 50% tu ya Mafanikio yake na waiachie tu iendelee Kuiheshimisha Tanzania kama nchi na Watanzania Kimataifa na sasa katika Shindano jipya la African Football League ( AFL )
 
Kabla nafasi 75 point 0.5
Baada nafasi ya 18 point 20
Kila michuano ya CAF ina thamani yake japo hadhi zinatofautiana.
 
Kwa mujibu wa CAF heshima ya Simba iko palepale kama timu inayo ongoza kwa matukio mengi yanayo husisha ushirikina dhidi ya Timu pinzani katika soka.
Kama ilo ni jambo la kujivunia basi kama Taifa hatuna budi matukio yote ya kishirikina yanayo wapa sifa kuyaweka makumbusho ya Taifa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliroga Chenge bungeni, kwenye meza na viti wanavyokaa waheshimiwa, itakuwa Simba kwenye uwanja wenye nyasi na majasho ya wachezaji?
 
Kumbe Mungu ni shabiki wa lunyasi aka msimbazi?😆😂
Kama ni hivo, hamna timu itawaweza.
 
"Hili limenipitaje, sikulijua na ndiyo nalijua leo?"

Sasa mbona hiyo ni sababu ya kawaida sana inayowasibu Mapopoma yote Duniani, kutokana na madishi yao kuyumba mara kwa mara. Kwa hapa Bongo, Mirembe na Lutindi ndiyo maeneo pekee ya kurekebisha hayo madishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…