GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbe Five Five za Kubahatisha kwa Wasiojua Baharini FC pamoja na Kutamba Kwao kote wana miaka 25 hawajacheza Group Stage ya CAFCL?
Kuanzia leo nawavua Vyeo vyote nilivyokuwa nimewapa nibaki tu Kuiheshimisha Klabu ya Mwenyezi Mungu na yenye Baraka zake zote ya Simba Sports Club.
Na niwashauri tu Mashabiki wa hiyo Klabu ( niliyoisahau Jina kwa sasa ) kuwa popote pale wakijua wamekutana na Mashabiki wa Simba SC wawe Wapole na Wanyamaze kwani hawajafikia hata 50% tu ya Mafanikio yake na waiachie tu iendelee Kuiheshimisha Tanzania kama nchi na Watanzania Kimataifa na sasa katika Shindano jipya la African Football League ( AFL )