Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Au labda walengwa walipata taarifa zote,ila mama aliona ajipatie kiki za dezo.nawaza tuu lakini kwa hiii akili yangu ya kubangulia korosho kwa meno[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi ya kiongozi? Hii sio tu intelligence failure but yet another proof TISS is f*cked up

Hapo mwisho hapo...!!!

DCAdvance party ndio akina nani?
MstaafuMajasusi wakiongozwa na Jasusi mwenzao watatiririka sisi tutabakia kusoma comments tu..
Ahaa sawa mstaafu..Mstaafu
Duh!
Lakini ka stend ni kazuri bwana. nilipita pale juzi na ka abood, aaah sema tu kajua kalikuwa kakali sana bhana
Chahali
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi ya kiongozi? Hii sio tu intelligence failure but yet another proof TISS is f*cked up
Kwa lugha hiyo kweli wewe ni BazaziChahali
Kama hujui kitu nyamaza. Unauhakika.gani kama hakuelezwa na kushauriwa kuwa akwende na asifungue kwani kuna tatizo hili na lile?
Kazi uliacha mwenyewe kwanini kusumbuka na uliyoyaacha?
Ile stand iko Porini inabidi waongeze jitihada kwa kujenga huduma nyingine pale karibu vinginevyo...Duh!
Lakini ka stend ni kazuri bwana. nilipita pale juzi na ka abood, aaah sema tu kajua kalikuwa kakali sana bhana
Kwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.Chahali