Hili linapaswa kuwasumbua macho wahusika

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772

Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi ya kiongozi? Hii sio tu intelligence failure but yet another proof TISS is f*cked up
 
Au labda walengwa walipata taarifa zote,ila mama aliona ajipatie kiki za dezo.nawaza tuu lakini kwa hiii akili yangu ya kubangulia korosho kwa meno[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Tutaweka bati kwa juu ukipita tena patakuwa pamefunikwa
Duh!
Lakini ka stend ni kazuri bwana. nilipita pale juzi na ka abood, aaah sema tu kajua kalikuwa kakali sana bhana
 
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi ya kiongozi? Hii sio tu intelligence failure but yet another proof TISS is f*cked up
Chahali

Kama hujui kitu nyamaza. Unauhakika.gani kama hakuelezwa na kushauriwa kuwa akwende na asifungue kwani kuna tatizo hili na lile?

Kazi uliacha mwenyewe kwanini kusumbuka na uliyoyaacha?
 
Kwa lugha hiyo kweli wewe ni Bazazi
 
Duh!
Lakini ka stend ni kazuri bwana. nilipita pale juzi na ka abood, aaah sema tu kajua kalikuwa kakali sana bhana
Ile stand iko Porini inabidi waongeze jitihada kwa kujenga huduma nyingine pale karibu vinginevyo...
 
Chahali

Kama hujui kitu nyamaza. Unauhakika.gani kama hakuelezwa na kushauriwa kuwa akwende na asifungue kwani kuna tatizo hili na lile?

Kazi uliacha mwenyewe kwanini kusumbuka na uliyoyaacha?
Kwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.

Sikuwahi kujua kwamba na wewe ni Fanatic Worshipper of state power.
 
Back
Top Bottom