Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi ya kiongozi? Hii sio tu intelligence failure but yet another proof TISS is f*cked up