Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Mdomoni mstaafu....Askari huwa hastaafu mkuu...
Mstaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstaafu
Sasa Mkuu kwa nini kiongozi Mkubwa namna hiyo apoteze muda na rasilimali kwenda na kurudia tena ndani ya majuma kadhaa, tena hapo ni security risk maana umeshasema utarudi soon. Mkuu unaweza kuwa hukubaliani na Chahali lakini ameongea point kubwa sana.Chahali
Kama hujui kitu nyamaza. Unauhakika.gani kama hakuelezwa na kushauriwa kuwa akwende na asifungue kwani kuna tatizo hili na lile?
Kazi uliacha mwenyewe kwanini kusumbuka na uliyoyaacha?
Word. Kwa ukongwe wake sikutegemea ayatamke aliyoyatamka. Kaacha ujumbe kamvamia mjumbeKwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.
Sikuwahi kujua kwamba na wewe ni Fanatic Worshipper of state power.
Once a spy, always a spy. Tunaweza kushangaa miaka 10 ijayo umekuwa Diigii tukabaki kujiuliza yule si ndio walitaka kumfirigisiMstaafu
Mkuu heshima kwako hawa wanaotetea huu ujinga ujue wanamaslahi naoKwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.
Sikuwahi kujua kwamba na wewe ni Fanatic Worshipper of state power.
Mstaafu
Ulistaafu kweli Chahali?Mstaafu