Hili linapaswa kuwasumbua macho wahusika

Hili linapaswa kuwasumbua macho wahusika

Chahali

Kama hujui kitu nyamaza. Unauhakika.gani kama hakuelezwa na kushauriwa kuwa akwende na asifungue kwani kuna tatizo hili na lile?

Kazi uliacha mwenyewe kwanini kusumbuka na uliyoyaacha?
Sasa Mkuu kwa nini kiongozi Mkubwa namna hiyo apoteze muda na rasilimali kwenda na kurudia tena ndani ya majuma kadhaa, tena hapo ni security risk maana umeshasema utarudi soon. Mkuu unaweza kuwa hukubaliani na Chahali lakini ameongea point kubwa sana.
 
Kwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.

Sikuwahi kujua kwamba na wewe ni Fanatic Worshipper of state power.
Word. Kwa ukongwe wake sikutegemea ayatamke aliyoyatamka. Kaacha ujumbe kamvamia mjumbe
 
Kwahiyo kutoa maoni kuhusu Usalama wa nchi ni mpaka uwe shushushu siyo ? Uwezo wenu wa kufikiri ni finyu mno nyie watu na ndiyo maana hili linchi linatumbukia shimoni.

Sikuwahi kujua kwamba na wewe ni Fanatic Worshipper of state power.
Mkuu heshima kwako hawa wanaotetea huu ujinga ujue wanamaslahi nao
 
Si ndio wamebaini mradi haujakamilika akaahirisha

Ukikariri kukosoa inaweza kujikosoa hata jinsia yako

Ndio wale wanakuwaga mashoga
 
Back
Top Bottom