Mkuuu hapo mdau katoa maoni yake, kwani hao Yanga walioko kambini wapo chini ya Kocha yupi labda?Sijui unafikiri kutumia Nini...Yanga imeacha 14 na Simba haijaacha mchezaji??...kwenye mazoezi saa hizi Yanga inao wangapi na Simba wako wangapi...Yanga imesajili wangapi na wangapi wapo mazoezini mpaka Sasa...Simba imesajili wachezaji wangapi wa kigeni na wangapi wanatakiwa...stupid