kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ungekuwa mtu basi ungejua kuitwa nyani haukubadilishi kitu,ila kwa vile unahisi we ni nyani ndio maana unatukana hovyo.Si ungemuita na yeye "Simba!"
Stupid....Anza Kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa...umwambie wewe nyani...halafu nenda kwa mama yako mwambie nyani...majibu yao ukiyapata uje utueleze humu...very stupid...stupid indeed...mtu mweusi kumwambia mwenzo nyani ..it reveals your level of education ..