Hili mimi ntalisema Tu. Kama watanichukia wanichukie Potelea Mbali

Mkuuu hapo mdau katoa maoni yake, kwani hao Yanga walioko kambini wapo chini ya Kocha yupi labda?
 
Mkuuu hapo mdau katoa maoni yake, kwani hao Yanga walioko kambini wapo chini ya Kocha yupi labda?
Una mawazo Kama ya TFF...Leo wametoa taarifa kuwa Msola aliishutumu TFF kuhusu kutoshughulikia hoja ya Yanga kwamba Simba walimrubuni Morrison kabla ya mechi.

Lakini Msola alitoa shutuma nyingi siku ile Kama vile...kwenye kamati iliyomhukumu Morrison alikuwemo kiongozi wa Simba aliyemsainisha Morrison...kwamba kamati nyingi za TFF zimejaa watu wasiozingatia weledi...kwamba wajumbe wa kamati wanavujisha taarifa mbalimbali...haya TFF haikuzungumzia kwenye taarifa yao ya leo...na wewe kwenye andiko langu umechomoa hoja moja tu ya kocha. Mambo Kama Simba imeacha wachezaji wangapi, imesajili wangapi wa kigeni na wanatakiwa wangapi, Simba in wangapi kambini hivi Sasa na Yanga wako wangapi kwa Sasa kambini...Yanga imesajili wangapi na wangapi wameripoti...haya yote hamtaki au hutaki kuzungumzis kwa kuwa mn aandika na unaandika kipropaganda...
 
Mkuu urefu wa andiko lako ni kielelezo tosha cha Malalamiko. See you
 
Mkuu urefu wa andiko lako ni kielelezo tosha cha Malalamiko. See you
Ni kweli...ni malalamiko...lakini sina uwezo wa kuyashughulikia...ila ni wazi walioko TFF kwa Sasa wengi wao ni wapuuzi....hawana weledi....ni aibu kwa taifa hili...wamechaguana tu kwenye kamati kwa kuisaidia tu timu moja..wanaua soka ya Tanzania...wanafaa kukamatwa wengi wao na kuswekwa ndani...
 
Kama simba watatia aibu kwa kupigwa 5,5 ama4 vipi kwa upande wa utopolo? Hivi utopolo wakienda hata makundi si watapigwa 8,8, 9 na si chini ya hizi!
Mlivyopata nafasi mlifanya kitu gani? Utopolo mnahangaikasana...! Na mtakoma mwaka huu, subirini sita tarehe 18 oct!
 
Na hii Simba ukiisha udhamini wa Sportpesa ndo basi tena mtaisikia kwa redio tu. maana Mo Dewji kwa kupenda sifa bila dau la bilioni 50 sijui. zitaanza sajili za bilioni 1 kwa mchezaji mmoja
Utaugua presha bure kwa kutarajia fisi adondoshe mfupa
 
Uneducated manyani na majibwa kuanzia mwenyekiti mpaka wanachama wa kawaida
 
Zimebaki siku 19 ligi ianze ,simba wako kambini yanga wanaokotana
Una uhakika na unayoyasema? Yanga ipo kambini Kama timu zote za ligi kuu zilivyo. Acha ushabiki
 
Tulia mtoa mada mbona kama yanga inakuumiza
 
Ona huyu nyani Mwingine, hivi umeelewa kweli alichoandika mleta thread??
 
Ona huyu nyani Mwingine, hivi umeelewa kweli alichoandika mleta thread??
Stupid....Anza Kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa...umwambie wewe nyani...halafu nenda kwa mama yako mwambie nyani...majibu yao ukiyapata uje utueleze humu...very stupid...stupid indeed...mtu mweusi kumwambia mwenzo nyani ..it reveals your level of education ..
 
We bwege Sana weeee
 
Imefungwa 8 Barcelona ya Messi unashangaa goli 5?

Kama unashangaa goli tano,basi kwa taarifa utopolo alishakula goli tisa mechi za kimataifa.Achilia mbali 6,5 ilizopigwa na mabingwa.Sitaki kukukumbusha zile 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…