kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Stupid....Anza Kwanza kumwambia baba yako aliyekuzaa...umwambie wewe nyani...halafu nenda kwa mama yako mwambie nyani...majibu yao ukiyapata uje utueleze humu...very stupid...stupid indeed...mtu mweusi kumwambia mwenzo nyani ..it reveals your level of education ..
Uwezo wako was kufikiri ni mdogo Sana...Kama ungekuwa makini, mwerevu na uliyeelimika, mwenye busara na hekima. Na mchambuzi wa mambo ungejua kuwa Mimi sijatukana...nimemwambia huyo aliyeniita nyani aanze Kwanza kuwatamkia hivyo baba na mama yake na majibu atakayopata kutoka kwa wazazi wake aje atufahamishe humu...na nikaendelea kusema kuwa kwa mtu mweusi kumuita mwenzie mweusi kuwa ni nyani ni kielelezo Cha kiwango duni Cha elimu...na kimsingi ni stupid ...and let me add to that ..ni stupid and an idiot at the same time...Ungekuwa mtu basi ungejua kuitwa nyani haukubadilishi kitu,ila kwa vile unahisi we ni nyani ndio maana unatukana hovyo.Si ungemuita na yeye "Simba!"
Umeanza kubweka na kulia kama nyaniWe bwege Sana weeee