Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia Leo Ni mapokezi Live TBC karibu iwe National Holiday.Ni mambo ya kusikitisha sana hayo,hakuna mtu anakataa kununua ndege lakini zinunuliwe kwa strategy nzuri mfano kila mwaka 2 au moja ila hili la kununua ndege Fasta Fasta tena cash linaumiza sekta nyingine,hizi ndege hazileti faida yoyote zaidi ya kuendelea kupewa ruzuku
Huyo Fatma karume ni mpuuzi tu km Zitto kabwe.
Yeye alitakiwa atoe taarifa kuwa sehem flani kuna shida ya maji.Ila sio kutoa mipasho eti ndege zinasaidia nn wananchi.
Ukisema hvyo ht ktk sekta ya afya bado mambo hayajakaa sawa.
Yeye kama yeye anatakiwa aelezee wap kuna shida sio mipasho.
Ndio maana anabaki kutokusikilizwa.
Ndege inafika inapokelewa na twaishangilia.
Umeona hapo rais anavyojitahidi???
Ndio maana pale afanyapo kitu hapingwi umati mkubwa unakubali kuliko kupinga.
Tengenezeni barabara za maana pia. View attachment 1245511

Usijeshindwa zalisha ukimsikilizia jiwe.Acha kutetea upuuzi wewe bwege nini fatma katoa taarifa ya muhimu sana watu wanahangaika kutafuta maji huyo jiwe analeta midege watu watakunywa hiyo midege.hopeless kabisaa
Tengenezeni barabara za maana pia. View attachment 1245511
Hata ile ya Kibaha highway Ni ya hizi standards?Tengenezeni barabara za maana pia. View attachment 1245511
Tengenezeni barabara za maana pia. View attachment 1245511
Basi kama mnashangalia ndege wakati hamna maji ni sahihi mkifanyiwa vipimo vya akili.Huyo Fatma karume ni mpuuzi tu km Zitto kabwe.
Yeye alitakiwa atoe taarifa kuwa sehem flani kuna shida ya maji.Ila sio kutoa mipasho eti ndege zinasaidia nn wananchi.
Ukisema hvyo ht ktk sekta ya afya bado mambo hayajakaa sawa.
Yeye kama yeye anatakiwa aelezee wap kuna shida sio mipasho.
Ndio maana anabaki kutokusikilizwa.
Ndege inafika inapokelewa na twaishangilia.
Umeona hapo rais anavyojitahidi???
Ndio maana pale afanyapo kitu hapingwi umati mkubwa unakubali kuliko kupinga.
Basi kama mnashangalia ndege wakati hamna maji ni sahihi mkifanyiwa vipimo vya akili.