Hili nalo halipatikani kwa ndugu zetu wa kusini

Ni mambo ya kusikitisha sana hayo,hakuna mtu anakataa kununua ndege lakini zinunuliwe kwa strategy nzuri mfano kila mwaka 2 au moja ila hili la kununua ndege Fasta Fasta tena cash linaumiza sekta nyingine,hizi ndege hazileti faida yoyote zaidi ya kuendelea kupewa ruzuku
 
Noma Sana Yani hao Ni Watanzania wanaipigana hivo kisa maji na kila siku joto la jiwe anatuambia Nchi Yao Ni Asali na Maziwa? Wapi hayo Maziwa Basi????😂😂😂😂 Penda sana
 
Ni mambo ya kusikitisha sana hayo,hakuna mtu anakataa kununua ndege lakini zinunuliwe kwa strategy nzuri mfano kila mwaka 2 au moja ila hili la kununua ndege Fasta Fasta tena cash linaumiza sekta nyingine,hizi ndege hazileti faida yoyote zaidi ya kuendelea kupewa ruzuku
Naskia Leo Ni mapokezi Live TBC karibu iwe National Holiday.
 
Huyo Fatma karume ni mpuuzi tu km Zitto kabwe.
Yeye alitakiwa atoe taarifa kuwa sehem flani kuna shida ya maji.Ila sio kutoa mipasho eti ndege zinasaidia nn wananchi.
Ukisema hvyo ht ktk sekta ya afya bado mambo hayajakaa sawa.
Yeye kama yeye anatakiwa aelezee wap kuna shida sio mipasho.
Ndio maana anabaki kutokusikilizwa.
Ndege inafika inapokelewa na twaishangilia.

Umeona hapo rais anavyojitahidi???
Ndio maana pale afanyapo kitu hapingwi umati mkubwa unakubali kuliko kupinga.
 
Tengenezeni barabara za maana pia.

IMG_20191026_125232.jpeg
 
Acha kutetea upuuzi wewe bwege nini fatma katoa taarifa ya muhimu sana watu wanahangaika kutafuta maji huyo jiwe analeta midege watu watakunywa hiyo midege.hopeless kabisaa

Watu Wa Hovyo Hovyo Hawakosekani
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Acha kutetea upuuzi wewe bwege nini fatma katoa taarifa ya muhimu sana watu wanahangaika kutafuta maji huyo jiwe analeta midege watu watakunywa hiyo midege.hopeless kabisaa
Usijeshindwa zalisha ukimsikilizia jiwe.
 
Raia wanateseka sana kwa kweli yaani poleni sana....wale waimba mapambio hii nayo sijui wataipa fix gani.
Tatizo CCM sasa hivi wapo kikampeni zaidi.
 
Tengenezeni barabara za maana pia. View attachment 1245511

1572109382637.png

1572109465154.png

1572109656637.png

Huyo Fatma karume ni mpuuzi tu km Zitto kabwe.
Yeye alitakiwa atoe taarifa kuwa sehem flani kuna shida ya maji.Ila sio kutoa mipasho eti ndege zinasaidia nn wananchi.
Ukisema hvyo ht ktk sekta ya afya bado mambo hayajakaa sawa.
Yeye kama yeye anatakiwa aelezee wap kuna shida sio mipasho.
Ndio maana anabaki kutokusikilizwa.
Ndege inafika inapokelewa na twaishangilia.

Umeona hapo rais anavyojitahidi???
Ndio maana pale afanyapo kitu hapingwi umati mkubwa unakubali kuliko kupinga.
Basi kama mnashangalia ndege wakati hamna maji ni sahihi mkifanyiwa vipimo vya akili.
 
Huwenda utumii akili na ww ndio unapaswa upimwe akili.
Maendeleo hayatizamiwi sehem moja.
Kwahyo kisa kijiji flan kina tatzo la maji shughuli zingine kiuchumi zisimame??
Kama umeisoma vema post yangu na kuielewa usingeropoka hivi.
Sijasema maji yasisambazwe na ndege ni bora kuliko maji.
Ebu soma post vema.

Back
Top Bottom