Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
242
Reaction score
450
Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
20220216_191229.jpg
 
Kwani kosa lake nn,mbona kaandika povu tu kwani simlisema asiwe wa kuhoji na yy hajahoji amezungunzia tu. Anayezungumzia au kulaumu ni miaka 5,vipi kwa atakaye HOJI? kumbe walikuwa serious kiasi hichi?. Ila mkataba fake na hii hukumu sioni uhalali wake. Otherwise wasema kosa lipo wapi?
 
Tff ni mfano wa viongozi wengi walioaminiwa na kupewa madaraka, lakini wanafanya hiyana, ni wanafiki wa kiwango cha juu.. Katika zile alama 3 za mnafiki basi zote wao wanazo😂
 
Oscar naye alisema
Bodi ya ligi ni chombo kwa maslai ya TFF sio ya vilabu
Basi nae afungiwe.
 
Kaongea ukweli.soka letu limekua lakubabaisha kwasababu ya aina ya viongozi walioko kwenye ofisi zinazojishughulisha na soka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bora kafungiwa kajamaa kanajifanya kanajua sana.

Acha upuuzi wewe

Shaffih kaongea ukweli mtupu juu ya uhuni wa hawa viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi na kiukweli hakuna mantiki ya yeye kufungiwa
 
Back
Top Bottom