marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu sehemu utajua shafii ana upeo mdogo huwezi walaumu gsm wawalipe fidia club, nawakati mkataba unasema timu zote zivae nembo ya gsm Simba wamegoma kwa hiyo mpaka hapo mkataba haujatekelezwa kwa hiyo gsm ana haki ya kujitoa sababu mkataba haujatekelezwa kulingana na makubalianoBora kafungiwa kajamaa kanajifanya kanajua sana.