Alafu sehemu utajua shafii ana upeo mdogo huwezi walaumu gsm wawalipe fidia club, nawakati mkataba unasema timu zote zivae nembo ya gsm Simba wamegoma kwa hiyo mpaka hapo mkataba haujatekelezwa kwa hiyo gsm ana haki ya kujitoa sababu mkataba haujatekelezwa kulingana na makubaliano