TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao.
Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328).
Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa kujengwa katika jiji la Uswizi la Winterthur, ambalo liko karibu na Zurich.
Ubunifu huo utatoa makazi ya kisasa, yenye ubora wa hali ya juu, kulingana na wabunifu wake.
NB. Hapa kwetu Tanzania hususani mkoani Iringa wilaya ya mufindi, wadau wa sekta ya misitu wa ndani na nje mlikutana kwenye kongamano kubwa la kimataifa la misitu, katika mijadara yenu mliongelea issues kama hizi, mwaka umeisha hatujasikia au kuona mfano wa kile mlichoambizana akiwepo waziri mkuu.
Mnakwama wapi?.