Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bongo hakuna injinia wa kujenga ghorofa moja ya mbao. Ai hata mawe. Vilaza watupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi ninajua kweli Mbao zina strength Sawa, Ila ghorofa ya magogo ya kufikia urefu huo bila kuvunjika nilikuwa najaribu kurudia mafizixs ya tensile strength. Forces zote, gravity, upthrust, Bernoulli nikawa sipati jawabu!Hapo kwenye huo ujenzi lazima column za mihimili watatumia beam za chuma,si mbao peke yake.
Kule mafinga miti inakatwa kama sisimizi waliomwagiwa petrol but hiyo siyo misitu ya asili bali ni mashamba biashara kwa ajili ya uvunaji na kuzalisha miti ya mbao.Ni uharibifu wa mazingira uliopindukia. Hakuna faida zaidi ya hasara
Siku ya siku mko zenu parking wote[emoji1][emoji1][emoji1]Bongo mchwa mkuu.
Tunalamba asaliBongo mchwa mkuu.
Tunalamba asali weweUjinga na Unafiki vina tumaliza sana wabongo
Kuna wakati unatamani uwe mzalendo lakini ghafla unasikia mtu kaiba billion 23 kodi za wananchi alafu anasema ni hela ya mboga
Kidogo tu mama anaupiga mwingi ila wakikaa chini wanaujua ukweli anazingua
#Tunapofeli no government encouragement kila mtu amekaa kimchongo
Ili tulambe asaliHuo ndiyo ukweli.
Kwenye makongamano ya mambo ya misitu wawekezaji na wanunuzi wengi wa hizi kitu wanatoka nje ya nchi.
Unadhani kwa nini watu wanalazimisha kununua nguzo za stima kutoka nje?.
Tunalamba asaliWatu washa piga night na allowances ilo ndio ilikua muhimu mkuu.
Saivi wanatafuta nyingine
Tena ukitokea moto mnaiva kama mishikaki.Hilo jengo mimi hata bure sikai...
NB. Hapa kwetu Tanzania hususani mkoani Iringa wilaya ya mufindi, wadau wa sekta ya misitu wa ndani na nje mlikutana kwenye kongamano kubwa la kimataifa la misitu, katika mijadara yenu mliongelea issues kama hizi, mwaka umeisha hatujasikia au kuona mfano wa kile mlichoambizana akiwepo waziri mkuu.
Hata hizo mbao lazima zipitie ukaguzi wa kina maana siyo zote ni nzimaHapo kwenye huo ujenzi lazima column za mihimili watatumia beam za chuma,si mbao peke yake.
Dah, mbao zote hizi....hapa ndipo natamani kuwa mchwa.Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao.
Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328).
Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa kujengwa katika jiji la Uswizi la Winterthur, ambalo liko karibu na Zurich.
Ubunifu huo utatoa makazi ya kisasa, yenye ubora wa hali ya juu, kulingana na wabunifu wake.
NB. Hapa kwetu Tanzania hususani mkoani Iringa wilaya ya mufindi, wadau wa sekta ya misitu wa ndani na nje mlikutana kwenye kongamano kubwa la kimataifa la misitu, katika mijadara yenu mliongelea issues kama hizi, mwaka umeisha hatujasikia au kuona mfano wa kile mlichoambizana akiwepo waziri mkuu.
Mnakwama wapi?.
Unadhani miti iliyoko Mafinga inaweza kujenga jengo la urefu kiasi gani? Durability yake inakuwaje, life span je? Jengo refu lazima watakuwa wametumia miti migumu, sina uhakika lakini.Kule mafinga miti inakatwa kama sisimizi waliomwagiwa petrol but hiyo siyo misitu ya asili bali ni mashamba biashara kwa ajili ya uvunaji na kuzalisha miti ya mbao.
That so miaka nenda rudi mafinga na eneo lote pale hakuna uharibifu wa mazingira kwa kukatwa miti asili au hifadhi, zaidi ya hapo kuna taasisi za mabeberu zinatoa pesa ndefu kwa vijiji visivyovuna miti iliyo kwenye mashamba biashara.
The same hata huko wanakojenga hayo majengo wapo careful na uharibifu wa mazingira hata kuliko nyie hapa bongoland.
1. Ndiyo inaweza.Unadhani miti iliyoko Mafinga inaweza kujenga jengo la urefu kiasi gani? Durability yake inakuwaje, life span je? Jengo refu lazima watakuwa wametumia miti migumu, sina uhakika lakini.