Hili ndilo jengo refu zaidi kwa makazi linalojengwa kwa mbao

Silipandi ng'oooooooooooooo,upepo mkali ule wa vimbunga ukihit tu ujue kiama humo kwenye hiyo mimbao
 
Hapo kwenye huo ujenzi lazima column za mihimili watatumia beam za chuma,si mbao peke yake.
Binafsi ninajua kweli Mbao zina strength Sawa, Ila ghorofa ya magogo ya kufikia urefu huo bila kuvunjika nilikuwa najaribu kurudia mafizixs ya tensile strength. Forces zote, gravity, upthrust, Bernoulli nikawa sipati jawabu!
 
Ni uharibifu wa mazingira uliopindukia. Hakuna faida zaidi ya hasara
Kule mafinga miti inakatwa kama sisimizi waliomwagiwa petrol but hiyo siyo misitu ya asili bali ni mashamba biashara kwa ajili ya uvunaji na kuzalisha miti ya mbao.

That so miaka nenda rudi mafinga na eneo lote pale hakuna uharibifu wa mazingira kwa kukatwa miti asili au hifadhi, zaidi ya hapo kuna taasisi za mabeberu zinatoa pesa ndefu kwa vijiji visivyovuna miti iliyo kwenye mashamba biashara.

The same hata huko wanakojenga hayo majengo wapo careful na uharibifu wa mazingira hata kuliko nyie hapa bongoland.
 
Hapo ground floor panatakiwa wakae wale jamaa wa pale kama unataka kuchukua mwendo kasi za muhimbili zimapokutana na za kkoo na feri a.k.a fire
 
Tunalamba asali wewe
 
Huo ndiyo ukweli.
Kwenye makongamano ya mambo ya misitu wawekezaji na wanunuzi wengi wa hizi kitu wanatoka nje ya nchi.

Unadhani kwa nini watu wanalazimisha kununua nguzo za stima kutoka nje?.
Ili tulambe asali
 

Na baridi ya huko mtaunguza nyumba nyingi sana japokuwa nakumbuka baadhii ya taasisi Njombe walikuwa na wooden housess miaka ya 80s
 
Dah, mbao zote hizi....hapa ndipo natamani kuwa mchwa.
 
Unadhani miti iliyoko Mafinga inaweza kujenga jengo la urefu kiasi gani? Durability yake inakuwaje, life span je? Jengo refu lazima watakuwa wametumia miti migumu, sina uhakika lakini.
 
Unadhani miti iliyoko Mafinga inaweza kujenga jengo la urefu kiasi gani? Durability yake inakuwaje, life span je? Jengo refu lazima watakuwa wametumia miti migumu, sina uhakika lakini.
1. Ndiyo inaweza.
2. Inaongezewa ufanisi.
3. Kila baada ya muda inafanyiwa checkup.
4. Miti mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…