Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Suala la kutoana jasho ni la kawaida tu.sasa mkuu ningesema sijajua ww ulionaje ila me naona alim mtoa jasho
G.O.M.D
mkuu hilo pambano niliangalia haikuwa kipondo kitakatifuGGG ni mdogo sana kwa Mayweather.
Ricky Hotton alipanda ulingoni akiwa na rekodi ya kupambana mapambano 43 bila kupigwa wala kutoa sare lakini alipopambana na Floyd Mayweather alitandikwa knockout round ya kumi.
Hata Canelo naye alikuwa na rekodi ya kupambana mapambano 43 kashinda 42 katoa sare moja lakini alipokea kipondo kitakatifu kana kwamba hakuwahi kucheza ngumi hata siku moja.
Embu rudi you tube ukaliangalie upya pengine labda siku hiyo ulikuwa una mhemko.mkuu hilo pambano niliangalia haikuwa kipondo kitakatifu
Labda GGG umemsikia kwa kwenye media tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kukimbia.
Canelo amewachakaza visiki wengi sana, huyu GGG ni wa kawaida sana kwake.
Kwa hiyo wewe umeshawahi kuonana naye?
Jamaa namfuatilia sanaa sanaaa. Ni hatari ile mikono sijasimuliwaKwa hiyo wewe umeshawahi kuonana naye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana.Jamaa namfuatilia sanaa sanaaa. Ni hatari ile mikono sijasimuliwa
GGG anajua ila Floyd anajua zaidi.jamani huyu Triple G (GGG) ni mtu hatari hamna tena. Kuna wakati Mayweather alikuwa anachonga ngenga jamaa akasema kama anataka pambano lipigwe tuu. GGG alisema hamuogopi Mayweather na staili yake ya 'Ping Pong' yaani ya kigana kwa kuvizia. (GGG yeye hupigana kwa kwenda mbele tu huwa harudi nyuma) Hata hivyo, Mayweather Sr. (Baba wa Mayweather) aliogopa akasema mwanake hawezi kupigana na 'Giant' akimaanisha GGG. Huyu jamaa anashikilia mikanda minne ya uzito wa middle weight kwa maana ya kuwa kawapiga mabondia wanne walikouwa mabingwa wa uzito wa middle weight. Canelo kwa upande wake ni uzito wa chini na siyo Middle weight. Canelo kuna baadhi ya mapambano amewahi kupewa ushindi lakini kiukweli ilikuwa kama kabebwa yalikuwa sare au alishindwa (mfano angalia pambano lake na Erislandy Lara (July 12, 2014). kwa upande wa GGG jamaa mapambano yake yote aliyoshinda hana hata chembe ya utata. mtafute u-tube ndo utamjua vizuri.
Mabondia wengi wanaonekana moto sana lakini wakija kwa Floyd wanapoa na wanaonekana was kawaida sana.Mkuu kwa ngumi za GGG Mayweather asingemaliza round 10. Trust me
Humwamini unahisi anafanya michezo michafu.hili ndilo pambano la kuangalia ,mimi binafsi mapambano ya maywether siyaangaliaji simwaminigi hata kidogo