Hili ndilo pambano la Millenium

yaani Pacquiao kwenye listi ya mabondia 50 huwezi mtaja? Utakuwa unajoke ni sawa na kusema Tanzania usimtaje Matumla kwenye mabondia bora kwakuwa alipigwa na Cheka
Halafu kwanza wapi nimemtaja PAC??

Hiyo mada ya PAC wewe ndo umeileta sasa hivi sikumtaja PAC mimi.

Na kama kupigwa PAC kapigwa Mara nyingi tu, kwa hiyo kupigwa na Floyd ni jambo la kawaida sana na nililitarajia hilo kabla hata ya mpambano kuanza
 
Kabla ya kusema hivi, wapi nilishasema hicho kitu ?

Maana nimekujibu hivi kulingana na bandiko lako ulilolitoa.
 
Kabla ya kusema hivi, wapi nilishasema hicho kitu ?

Maana nimekujibu hivi kulingana na bandiko lako ulilolitoa.

Hance,

I agree kuwa Mayweather ni bondia wa karne. He is soo good. Talented. Very rare talent to happen in the world of boxing. Ila pia he has got very good marketting team (Always Americans are good at branding their talent)

Ila kitu ambacho siwezi kukubali ni pale mtu anapojihakikishia kuwa Mayweather angempiga GGG huyu jamaa pia (Just like Mayweather) ni very rare talent that has happened in the world. Ni exceptional.

Mayweather best weapons ni defence, movement, and counter punching (Of course he is very precize when attacking)

GGG best weapons ni agressiveness, high power, best chin. GGG hajawahi poteza tangu yupo amater (za ridhaa) Ashachukua dhahabu kibao kwenye ridhaa na olympics.

Tukubaliane kuwa wawili hawa wakipigana lolote linaweza kutokea.
 
Mayweather amezeeka.

Kwa sasa anaweza kupoteza.


Ila mayweather wa miaka mitano mpaka kumi iliyopita alikuwa ni moto wa kuotea mbali.


Kingine Floyd ni boxer wa kipekee sana, anapenda sana starehe kuliko ngumi , lakini akiwa ulingoni anaonesha uwezo wa hali ya juu.
 
Ni kweli,
Kwa upande wangu naona hata pambano la Mayweather -Pacquiao limepiganwa mda ambao siyo ilibidi lipiganwe miaka kama 7 iliyopita wote wawili wakiwa vizuri.
 
Watu wana mapenzi ya ajabu sana. Huyu Canelo ambaye mnasema atapambana na GGG na hili pambano mmelibatiza kuwa na pambano la milenia alioneshwa cha mtema kuni na TBE Money Shots. Na kipindi hicho Canelo ni kijana haswaa na mkono wake wa chuma.

GGG pamoja na ubora wake bado hajapambana na wanaume wa shoka afadhali hata ya Canelo ameshapigana na Cotto, Shane Mosley, Mayweather, na alimshikisha adabu kisawasawa Amir Khan.
 
Hichi kitu nimekisema huko juu, huyu 3G amepigana na vitoga hajakutana na wanaume bado, na nina uhakika Canelo lazima amshikishe adabu.
 
Ni kweli,
Kwa upande wangu naona hata pambano la Mayweather -Pacquiao limepiganwa mda ambao siyo ilibidi lipiganwe miaka kama 7 iliyopita wote wawili wakiwa vizuri.
Hichi kitu nimekisema huko juu, huyu 3G amepigana na vitoga hajakutana na wanaume bado, na nina uhakika Canelo lazima amshikishe adabu.

my take: tusubiri sept 16. then Hance urudishe huu mjadala
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kukimbia.

Canelo amewachakaza visiki wengi sana, huyu GGG ni wa kawaida sana kwake.
Wa kawaida sana kwake huku alikuwa anakimbiakimbia kwenye ring hadi ka-draw
 
Sasa unasema anangojea watoke kwenye Ubora. Yeye Floyd yupo kwenye ubora milele?? Father time anamsubiri yeye??? Floyd ni mkubwa kwa Pac Man, sasa nani anatoka kwenye ubora zaidi Pac Man au Floyd.Fikiria kabla ya kuandika
 
Kelly Brook alifanya mistake kupanda weight kupigana na bondia wa uzito mkubwa zaidi GGG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…