Hili ndilo pambano la Millenium

Hili ndilo pambano la Millenium

yaani Pacquiao kwenye listi ya mabondia 50 huwezi mtaja? Utakuwa unajoke ni sawa na kusema Tanzania usimtaje Matumla kwenye mabondia bora kwakuwa alipigwa na Cheka
Halafu kwanza wapi nimemtaja PAC??

Hiyo mada ya PAC wewe ndo umeileta sasa hivi sikumtaja PAC mimi.

Na kama kupigwa PAC kapigwa Mara nyingi tu, kwa hiyo kupigwa na Floyd ni jambo la kawaida sana na nililitarajia hilo kabla hata ya mpambano kuanza
 
Kabla ya kusema hivi, wapi nilishasema hicho kitu ?

Maana nimekujibu hivi kulingana na bandiko lako ulilolitoa.
 
Kabla ya kusema hivi, wapi nilishasema hicho kitu ?

Maana nimekujibu hivi kulingana na bandiko lako ulilolitoa.

Hance,

I agree kuwa Mayweather ni bondia wa karne. He is soo good. Talented. Very rare talent to happen in the world of boxing. Ila pia he has got very good marketting team (Always Americans are good at branding their talent)

Ila kitu ambacho siwezi kukubali ni pale mtu anapojihakikishia kuwa Mayweather angempiga GGG huyu jamaa pia (Just like Mayweather) ni very rare talent that has happened in the world. Ni exceptional.

Mayweather best weapons ni defence, movement, and counter punching (Of course he is very precize when attacking)

GGG best weapons ni agressiveness, high power, best chin. GGG hajawahi poteza tangu yupo amater (za ridhaa) Ashachukua dhahabu kibao kwenye ridhaa na olympics.

Tukubaliane kuwa wawili hawa wakipigana lolote linaweza kutokea.
 
Mayweather amezeeka.

Kwa sasa anaweza kupoteza.

Ila mayweather wa miaka mitano mpaka kumi iliyopita alikuwa ni moto wa kuotea mbali.

Kingine Floyd ni boxer wa kipekee sana, anapenda sana starehe kuliko ngumi , lakini akiwa ulingoni anaonesha uwezo wa hali ya juu.
 
Ni kweli,
Kwa upande wangu naona hata pambano la Mayweather -Pacquiao limepiganwa mda ambao siyo ilibidi lipiganwe miaka kama 7 iliyopita wote wawili wakiwa vizuri.
 
Watu wana mapenzi ya ajabu sana. Huyu Canelo ambaye mnasema atapambana na GGG na hili pambano mmelibatiza kuwa na pambano la milenia alioneshwa cha mtema kuni na TBE Money Shots. Na kipindi hicho Canelo ni kijana haswaa na mkono wake wa chuma.

GGG pamoja na ubora wake bado hajapambana na wanaume wa shoka afadhali hata ya Canelo ameshapigana na Cotto, Shane Mosley, Mayweather, na alimshikisha adabu kisawasawa Amir Khan.
 
Hichi kitu nimekisema huko juu, huyu 3G amepigana na vitoga hajakutana na wanaume bado, na nina uhakika Canelo lazima amshikishe adabu.
 
Mayweather amezeeka.

Kwa sasa anaweza kupoteza.

Ila mayweather wa miaka mitano mpaka kumi iliyopita alikuwa ni moto wa kuotea mbali.

Kingine Floyd ni boxer wa kipekee sana, anapenda sana starehe kuliko ngumi , lakini akiwa ulingoni anaonesha uwezo wa hali ya juu.
Ni kweli,
Kwa upande wangu naona hata pambano la Mayweather -Pacquiao limepiganwa mda ambao siyo ilibidi lipiganwe miaka kama 7 iliyopita wote wawili wakiwa vizuri.
Hichi kitu nimekisema huko juu, huyu 3G amepigana na vitoga hajakutana na wanaume bado, na nina uhakika Canelo lazima amshikishe adabu.

my take: tusubiri sept 16. then Hance urudishe huu mjadala
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi kukimbia.

Canelo amewachakaza visiki wengi sana, huyu GGG ni wa kawaida sana kwake.
Wa kawaida sana kwake huku alikuwa anakimbiakimbia kwenye ring hadi ka-draw
 
maneno ya Floyd Mayweather Sr (Alipoulizwa kuhusu Mayweather vs. GGG):

"I would say something about this GGG. GGG, hey, if GGG can make weight, that would be different, but -- no, no, we not fixin' to fight no damn giant. I'm gonna tell you like this right here. He comes down, he be at 154, by the time he eats and fight that night, maybe 180, you just don't know, man. People can eat up stuff, man, and hey. He don't need to fight nobody like that, man. Now they say that Floyd won't beat him, but I'm just telling you because, the guy is probably just so big and strong, man. Floyd probably, all he would be doing is, he'd take a lot of punches. He'd come in, Floyd would run the stuff off of him. But the whole thing is, it'd be a struggle, but Floyd probably could beat him. I can't say that he can't beat him."

Yaani strategy ya Mayweather ni hiyo hiyo ya kudokoa na kukimbia. Hata hivyo kwa staili hiyo Cotto alimsumbua Maidana pia na hata Old Pacquiao. Ni kwamba Mayweather amekuwa akingoja mabondia pale wanapotoka kwenye ubora ndo anataka kupigana nao. (Rejea pacquiao) ila kwa staili yake hiyo ya kupiga na kukimbia angepigwa punch hadi angezimia na GGG.
Sasa unasema anangojea watoke kwenye Ubora. Yeye Floyd yupo kwenye ubora milele?? Father time anamsubiri yeye??? Floyd ni mkubwa kwa Pac Man, sasa nani anatoka kwenye ubora zaidi Pac Man au Floyd.Fikiria kabla ya kuandika
 
Hance,

Yaani ndugu kama unamuona Pacquiao ni mdogo kwenye ngumi kisa pambano la aliloshindwa kwa mayweather (ambalo watu wa ngumi wengi wamelirule kuwa ni droo sema kwakuwa mayweather hakuwahi kupoteza walimpa, basi ni maajabu). Man Pac ni bondia wa karne. Huyo Maidana alimsumbua Floyd hadi basi na alishawahi kuwa sparing partner wa GGG anasema GGG punch zake si za kitoto. Mayweather kasumbuliwa vibaya hata na Mosley. We huo ukubwa unaousema unaupimaje? Halafu mabondia Wamerekani ukipigana kwao then usipowapiga KO basi asilimia kubwa wanatabia ya kubebana. Ngoja uone mziki wake kwa CANELO nadhani unaweza hata kukisia. Kuna kabondia ka welteweight kalikuwa hakajawahi pigwa 'Kell Brook' kalichonga sana kuwa kanamtaka GGG kamepasuliwa fremu ya jicho (eye-socket) hadi kamekuwa karemavu (ingawa kinapigana) lakini hiyo eye-socket inamsumbua na uwezo wake umepungua juzi kati kutokana na ubovu huo kamepigwa na error spence wa Uingereza
Kelly Brook alifanya mistake kupanda weight kupigana na bondia wa uzito mkubwa zaidi GGG.
 
Back
Top Bottom