joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu muhimu zaidi cha kuzingatia ni kwamba, hizi silaha zote ni mpya, kama tunavyonunua ndege moja kwa moja toka Kiwandani, ndivyo tulivyonunua hizi meli, boats na hizo tanks, vyote hivi tumevipokea kuanzia 2012 hadi 2018, "not old than 7 years"
Karibuni kwa ajili ya kurusha povu hewani.
Mbona mmeitwika bendera ya uchina?Wakati bado hamuamini mlichokiona, mnakutana na vifaa vipya kabisa, hakuna used hapa
Mbona mmeitwika bendera ya uchina?Wakati bado hamuamini mlichokiona, mnakutana na vifaa vipya kabisa, hakuna used hapa
Hiyo ni bendera Nyekundu ikimaanisha hatari, hapa Tanzania, vyombo vyote vya ulinzi vinaweka bendeta nyekundu wakati wa operation maalumu.Mbona mmeitwika bendera ya uchina?
Kwahiyo hivyo vifaa sio vya Tanzania?, Hahahaha, tukiwaambia hamuwezi gusa TPDF mnadhani ni utani.[emoji23][emoji23][emoji23] kwani Tz walichange flag zao na hatujui, huyu jamaa should be studied
yes hatuna mambo mengi but tnaweza kuwadhibitiKwa vifaa sisi bado saanaa
MK254 njoo hukuWakenya, mbona siwaoni katika huu Uzi, au bado hamja amka?. Tafadhali tuonyesheni "inventory" ya jeshi lenu la baharini, na mtuonyeshe hizo silaha tuzione. Hahahaha, hahahaha.
POLISI hao wakifanya mazoezi, angalia bendera nyekundu hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] kwani Tz walichange flag zao na hatujui, huyu jamaa should be studied