Hili ndilo "Tanzania Navy Commander", Jirani kaa mbali sana.

Kwani kuna vita? silaha zetu ni za kupambana na nchi gani? nani tumemzidi nguvu kijeshi?
 
Siku tuombe mechi ya kirafiki na hata Malawi tu.. tu test mitambo yetu
 
Kitu muhimu zaidi cha kuzingatia ni kwamba, hizi silaha zote ni mpya, kama tunavyonunua ndege moja kwa moja toka Kiwandani, ndivyo tulivyonunua hizi meli, boats na hizo tanks, vyote hivi tumevipokea kuanzia 2012 hadi 2018, "not old than 7 years"

Karibuni kwa ajili ya kurusha povu hewani.

Meli zenu zote ni second hand Kutoka China infact zilitolewa vifaa vingine ambavyo JTWZ haikuwa inahitaji before they were delivered.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Comedy hour 😁😁
Inakaa Ile world war II Landing in Normandy 😂😂😂😂
 
Meli zenu zote ni second hand Kutoka China infact zilitolewa vifaa vingine ambavyo JTWZ haikuwa inahitaji before they were delivered.
Hahahaha. Kuanzia Leo mjue kwamba sisi sio level, yenu. Ninyi endeleeni kununua " scrappers ", pakeni rangi na mfikirie mnaweza kupigana na sisi.

Mara " ooh, hizo ni vifaa vya China hata vikiwa "New" haviko sawa. Mara ooh, hivyo ni used.

Tanzania hata Kijiko ofisini, sheria hairuhusu kununua "used".
 
Hiyo ni bendera Nyekundu ikimaanisha hatari, hapa Tanzania, vyombo vyote vya ulinzi vinaweka bendeta nyekundu wakati wa operation maalumu.
Nyekundu Ni ya msaada Kama vile red Cross hata hivyo vifaa mlioewa bure na Uchina baada ya kushangaa watavitupa wapi...Kama hiyo nyekundu hiyo nyekundu ndio mlienda nayo kongo, ndio ikawafanya wanamgambo mipanga wakawavamia wakifikiri Ni wanajeshi msalaba mwekundu 😂😂😂😂
 
POLISI hao wakifanya mazoezi, angalia bendera nyekundu hiyo

Hawa ni fire brigade ama polisi?🤣🤣🤣
Kama wale ndo mnaita anti riot polisi basi mko mbali sana.
Hahahaha. Kuanzia Leo mjue kwamba sisi sio level, yenu. Ninyi endeleeni kununua " scrappers ", pakeni rangi na mfikirie mnaweza kupigana na sisi.

Mara " ooh, hizo ni vifaa vya China hata vikiwa "New" haviko sawa. Mara ooh, hivyo ni used.

Tanzania hata Kijiko ofisini, sheria hairuhusu kununua "used".
Hahaa you are just having verbal diorrahea.hata ku transport,ku supply nakufanya medavac over long distances and rough terrain hamna uwezo .The least you can do against Kenya is defending your self for a few days.
 
Ni Naval Command Siyo Navy Commander wewe!

Back
Top Bottom