Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38]
 
Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.

Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.

Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.

Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.

Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.

Sharia na Katiba
Halima Mdee.

Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia

Ruksa kuweka utabiri wako hapa
Lini wanaapishwa?
 
Hili sio baraza ni daraja la mawaziri
Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.

Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.

Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.

Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.

Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.

Sharia na Katiba
Halima Mdee.

Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia

Ruksa kuweka utabiri wako hapa
 
Hahahahah! Bado Tundu lissu anafikiria majina ya uwaziri

By the way, lini Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda watawaapisha Lissu na Maalim Seif?

They’re too slow! Ujue wanawachelewesha kuanza mihula yao. Safari iliyopita Maalim Seif alisubiri kwa miaka mitano mpaka akakutwa na uchaguzi mwingine kabla hajaapishwa. Safari hii hatupendi ucheleweshaji kama huo ujirudie![emoji28]
 
Back
Top Bottom