imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Jifunze kuandika kwanzaBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Jifunze kuandika kwanzaBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Ya kusadikika. [emoji23][emoji23][emoji23]Baraza ka Mawaziri la nchi gani?
Mods msiunganishe huu uzi. Huu ni uzi kamili unaojitegemeaRaisi- Tundu Antipas Lissu
Makamu Raisi- Salum Mwalimu
Waziri Mkuu- Bernad C Membe
Waziri/Nje- Lazaro Nyalandu
Waziri/ Fedha- Zitto Kabwe
Waziri Ulinzi- Esther Bulaya
Waziri Sheria- Halima Mede
Waziri Afya- Juma Duni Haji
Waziri Muungano- Ismail Jussa
Waziri/ Viwanda, Biashara na Uwekezaji- Freeman Mbowe
Waziri/ Tamisemi- Mnyika
Waziri/ Ndani- Godbless Lema
Waziri/ Michezo Burudani- Joseph Mbilinyi
Waziri Watoto Maendeleo ya Jamii- Suphian(kutoka ACT)
Waziri Uchukuzi- John Heche
Waziri Madini- Fatma Karume
Waziri Mafuta/ Gesi- Esther Matiko
Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu- Maria Sarungi
Katibu Mkuu/ Kiongozi- Prof Assad
Baraza ka Mawaziri la nchi gani?
Kwa katiba ya nchi gani hiyo au hii ya kujua kusoma na kuandika?Waziri anatakiwa awe na degree at least! Twambie Sugu na Mbowe walimaliza degree zao vyuo gani?
Wenje ameshaahidiwaSafi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Lema akae madini!Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Mange kimambi waziri wa unoko mitandaoniMimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.
Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.
Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.
Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.
Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.
Sharia na Katiba
Halima Mdee.
Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia
Ruksa kuweka utabiri wako hapa
Msigwa utalii, Nyalandu arudishwe Mambo ya nje na ushirikano wa kimataifa!!Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Unachekesha kamanda, huyu mwenye chamaMbowe abaki kuwa mshauri mkuu wa chama.
Wasomi ndio hawa kina sungu, prof j na Mbowe?.CHADEMA ina hazina kubwa wa wasomi na wenye upeo mkubwa kwahyo tunajitosheleza bila kutegemea upande wa pili kama wale jamaa wa buku 7.
Baraza la mawaziri wa nchi ya kusadikika. Ikulu mtaishia kuiona kwenye TV.Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.
Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.
Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.
Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.
Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.
Sharia na Katiba
Halima Mdee.
Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia
Ruksa kuweka utabiri wako hapa
Napendekeza viwanda na biasharaSafi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii itakuwa Nchi ya Mazwazwa!!!!!!!!Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.
Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.
Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.
Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.
Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.
Sharia na Katiba
Halima Mdee.
Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia
Ruksa kuweka utabiri wako hapa
Ulinzi na usalama nyalandu hafaiMimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu.
Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa.
Waziri Mkuu
Freeman Mbowe.
Ulinzi na Usalama
Lazaro Nyalandu.
Michezo, Habari na Vijana.
Sugu a.k.a Jongwe.
Sharia na Katiba
Halima Mdee.
Subili kwanza niishie hapo nitarudi baadaye kumalizia
Ruksa kuweka utabiri wako hapa