Melvine
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 720
- 1,388
Nchi ya kusadikika aiseeee hahahahahahahaBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Nchi ya kusadikika aiseeee hahahahahahahaBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Nchi ulipoBaraza ka Mawaziri la nchi gani?
Mkuu wa magereza tanzaniaSafi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Iko wapi CCM ya Nyerere na Sokoine mpaka iletwe mpya ya wenye PhD za kuchunga ng'ombe? Wakachunge madege yapate kazi ya kupeleka mizigo Uarabuni jangwani wapate kitoeo.Nikiangalia tu HV vi MTU ulivyoviweka kwenye hz wizara ni kichekesho,,,, n dhahil tosha kwamba chadema bado n chama cha uana harakati hakipo tayar kushika Dora,,,, iko WAP? Chadema ya kina Dr slaa, kna mashinji...
Waziri anatakiwa awe na degree at least! Twambie Sugu na Mbowe walimaliza degree zao vyuo gani?
Kwanini siyo "Foreign Ministry"?Yes.
Dalili zinaonyesha Tundu Lissu anashinda uchaguzi mkuu wa 2020.
Mapendekezo yangu kama Mwananchi nisie na chama. Lazaro Nyalandu arudi kwenye Ubunge, then aje kuwa Waziri Mkuu wa JMT 2020-2025. Anafaa sana kwenye hiyo nafasi!!!!
Mkuu mark my Word.Ukweli ni mchungu
kwa sasa vyama vya upinzani kuchukua dola wasahau.
Mpaka tufe wote tuliopo.
Awe PM tu.Kwanini siyo "Foreign Ministry"?
Ukweli ni mchungu
kwa sasa vyama vya upinzani kuchukua dola wasahau.
Mpaka tufe wote tuliopo.
Ni mpole kuhimili uwaziri mkuu. Anyway bado ni ndoto lakini upinzania kuchukua nchi; muhimu tuombe wabunge wa upinzani wasipungue theluthi moja ili kuisimamia serikali ya CCM kwa makini zaidiAwe PM tu.