Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

CHADEMA ina hazina kubwa wa wasomi na wenye upeo mkubwa kwahyo tunajitosheleza bila kutegemea upande wa pili kama wale jamaa wa buku 7.
Wasomi kama wewe au??
 
Kwa nini ufoke namna hii kwenye ulinzi na usalama? Mbunge wangu Lema yeye yuko upande gani?

Preta....safarini Namanga kuchunga KQ isikatize.
 
Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandisi wa habari watamuelewa Waziri msela.

Kamanda Lema atakuwa wapi?
Lema Mambo ya Ndani. Anajua mateso ya jela, anajua kuonewa kwa kubambikiwa kesi etc! anajua mahitaji ya polisi waweze kutenda kazi zao bila kuingiliwa na siasa/ anajua uovu/ubaya wa kulihusisha polisi na siasa etc!
 
Kwa nini ufoke namna hii kwenye ulinzi na usalama? mbunge wangu Lema yeye yuko upande gani.......?....

Preta....safarini Namanga kuchunga KQ isikatize.

Hahahahahaha Preta umenichekesha hapo kwenye kuchunga KQ isikatizee [emoji16][emoji16][emoji16] jf sihami
 
Waziri wa sharia, sharia, sharia, sharia...duh...I reserve my comment on this ...
 
Asante kiongozi. Unajua tena tukiwa kwenye KVant baridi na pap tunaokota burunguti la minoti. Hapo ntakupa noti MOJA tu. Ngumi baadae
 
Wizara ya mambo ya nje
Sasa hapo mtakuwa mmeisaidia mno nchi hii , unajua hii wizara anapaswa kupewa mtu mwenye uzoefu kama mimi , usiokote mtu jalalani na kumuweka hapa , ataenda kuchukua mchemsho aseme dawa ya corona!
 
Back
Top Bottom