Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,026
- Thread starter
- #41
Hivi ule mchemsho uliishia wapi!? Nchi ina vituko sana hii.
Sasa hapo mtakuwa mmeisaidia mno nchi hii , unajua hii wizara anapaswa kupewa mtu mwenye uzoefu kama mimi , usiokote mtu jalalani na kumuweka hapa , ataenda kuchukua mchemsho aseme dawa ya corona !