Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

Tatizo wakitolewa hapo watetezi uchwara wataibuka kulalamika. Mfano soko kuu pale palikua hapafai kuendelea kuwa soko kubwa mwanza uchafu na mengineyo vilizidi. Hapo pa kufunga pafanyiwe matengenezo ila inahitaji mtu mwenye msimamo hasa maana kuna pesa za watu hapo wamekaa tu kukinga kila mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…