Duuuh...hivi hawa wamama walitoa wapi huo mtindo wa kuzaa na watoto?
Angalia Trend Wema,Esha,Uwoya,Aunt, Shilole,Wolper ,Kajala nk wote walisumbua enzi zao kwa kudanga, ila sasa hivi wote wameangukia kwa vijana wadogo.Ukitizama hao wote wanao date nao wanatafuta unafuu (wanalelewa) na unaweza ukakuta hawana ile command ya mwanaume ndani ya nyumba.
Sababu moja wale ambao ni agemate ,always wanataka mali safi, ambayo haijatumika sana au low body count na kumbuka mwanaume yoyote yule awe malaya au mtulivu,anaweza kupiga mademu hata mia ,ila wakati wa kuoa lazima atafanya vetting. So hao ukiwa fanyia vetting automatically wanakuwa hawana vigezo. So wanabaki kiwa kimbilio la vijana wanaopenda kulelewa.
Hata hawa wakina Sanchi, Tuerny, Poshqueen,Nicole,Mobetto nk au demu yoyote anaye trend kwa kudanga huko Social Media ni swala la muda kwani watakosa soko na kuwa walezi wa vijana wadogo.Hapo ndipo ujue kudanga kuna limitations ya umri, sasa hivi kuna vibinti vidogo vibichi vimeingia sokoni, so hawa wazamani watakosa soko automatically.