Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Makundi yote mwaka huu magumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempatia sanaVipi ile iliyokandwa goli nyingi kuliko timu zote?
Walikula Mkono wa Nyani. Nawaonea huruma.Vipi ile iliyokandwa goli nyingi kuliko timu zote?
Ni kweli AFL imeathiri sana hata SimbaAthari za AFL timu kubwa zimechoka balaa angalia zote matokeo yake ya kusuasua.
Hazikupata maandalizi ya kutosha na uchovu wa akili na mwili wa hicho kitonament.
Timu zote zilizoshiriki ziko hoi bin taabani kasoro Atletico tu
Anazungumzia timu kubwalakini yanga hawakushiriki mkuu
Mechi 2?Ni kweli AFL imeathiri sana hata Simba
Timu zote zilizocheza AFL zinachechemea sana ila zingine ambazo hazikucheza nyingi ndiyo viwango vyao hivyo.Ni kweli AFL imeathiri sana hata Simba
Ni mechi mbili nzito ngumu zenye maandalizi makubwa timu zimekuwa affected pakubwa sana.Mechi 2?
Ukiniambia maandalizi makubwa ya kuroga uwanja kila siku na wachezaji kushinda uchi hapo sawa.Ni mechi mbili nzito ngumu zenye maandalizi makubwa timu zimekuwa affected pakubwa sana.
Mechi za ligi
Mechi za CAF CL qualification 2 mechi za AFL 2-6 haafu CAFCL group stages ni mzigo mzito.
kama hujui kundi hilo ndo jepesi sana kuliko yote
Nyakati nyingine uwe unajaribu kusikiliza/kusoma hoja za watu na kujifunza. Siyo kila wakati ni wakati wa kujibishana na watu tuUkiniambia maandalizi makubwa ya kuroga uwanja kila siku na wachezaji kushinda uchi hapo sawa.
Hoja gani zaidi ya kujimwambafai na AFL kutafuta kichaka cha kujificha!! Unataka kusema mechi mbili za Al ahly mlitumia energy kubwa c ndio?Nyakati nyingine uwe unajaribu kusikiliza/kusoma hoja za watu na kujifunza. Siyo kila wakati ni wakati wa kujibishana na watu tu
Unafikiri kuroga na kukaa uchi ni kazi nyepesi ?Ukiniambia maandalizi makubwa ya kuroga uwanja kila siku na wachezaji kushinda uchi hapo sawa.
Mla mla leo, mla jana kala nini; mavi ya kale hayanuki.Zinazidi hizi?
View attachment 2838953
Matokeo yote ni historiaMla mla leo, mla jana kala nini; mavi ya kale hayanuki.
Kwa matokeo ya Yanga na Simba mpaka Sasa endapo wangekua group moja nani angeshika mkia?Basi mimi nilidhani timu kibonde ni ile ambayo katika mechi zake mbili ilizocheza imefunga goli 1 pekee! Tena nasikia ni la penati!!
Kati ya wa kwanza na Yanga kwenye kundi lake wanapishana alama 3, lakini kati ya wa kwanza na Simba kwenye kundi la Simba wanapishana alama 5. tafakari..!!Kwenye michuano hii timu kibonde pekee ni yanga