Hili ndio Kundi gumu CAF

Hili ndio Kundi gumu CAF

Timu ilokandwa magoli mengi mpk sasa bado ipo kundini... 😆 😆 😆 😆 mpira bado haujaisha...
 
Vipi ile iliyokandwa goli nyingi kuliko timu zote?
Walikula Mkono wa Nyani. Nawaonea huruma.
FB_IMG_1702267102912.jpg
 
Mpaka sasa Yanga ina mkono wa Nyani kwny mashindano haya....
Kweli makundi magumu..
 
Athari za AFL timu kubwa zimechoka balaa angalia zote matokeo yake ya kusuasua.

Hazikupata maandalizi ya kutosha na uchovu wa akili na mwili wa hicho kitonament.

Timu zote zilizoshiriki ziko hoi bin taabani kasoro Atletico tu
Ni kweli AFL imeathiri sana hata Simba
 
Ni mechi mbili nzito ngumu zenye maandalizi makubwa timu zimekuwa affected pakubwa sana.

Mechi za ligi
Mechi za CAF CL qualification 2 mechi za AFL 2-6 halafu CAFCL group stages ni mzigo mzito.
 
Ni mechi mbili nzito ngumu zenye maandalizi makubwa timu zimekuwa affected pakubwa sana.

Mechi za ligi
Mechi za CAF CL qualification 2 mechi za AFL 2-6 haafu CAFCL group stages ni mzigo mzito.
Ukiniambia maandalizi makubwa ya kuroga uwanja kila siku na wachezaji kushinda uchi hapo sawa.
 
Ukiniambia maandalizi makubwa ya kuroga uwanja kila siku na wachezaji kushinda uchi hapo sawa.
Nyakati nyingine uwe unajaribu kusikiliza/kusoma hoja za watu na kujifunza. Siyo kila wakati ni wakati wa kujibishana na watu tu
 
Nyakati nyingine uwe unajaribu kusikiliza/kusoma hoja za watu na kujifunza. Siyo kila wakati ni wakati wa kujibishana na watu tu
Hoja gani zaidi ya kujimwambafai na AFL kutafuta kichaka cha kujificha!! Unataka kusema mechi mbili za Al ahly mlitumia energy kubwa c ndio?
Kama timu yenu mbovu ni mbovu tu msitumie AFL kama kichaka.
 
Basi mimi nilidhani timu kibonde ni ile ambayo katika mechi zake mbili ilizocheza imefunga goli 1 pekee! Tena nasikia ni la penati!!
Kwa matokeo ya Yanga na Simba mpaka Sasa endapo wangekua group moja nani angeshika mkia?
 
Kwenye michuano hii timu kibonde pekee ni yanga
Kati ya wa kwanza na Yanga kwenye kundi lake wanapishana alama 3, lakini kati ya wa kwanza na Simba kwenye kundi la Simba wanapishana alama 5. tafakari..!!
 
Back
Top Bottom