King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
- Thread starter
- #21
Hiyo sarufi ya kuandika mutu badala ya mtu mimi siijui King Octavian. Kwa hiyo ni sahihi kusema/kuandika:Mutu mukubwa anakuja kututembelea kesho?
ndiyo ni sahihi, lugha ya kiswahili ni pana sana hasa kutokana na yenye kuundwa na vilugha vidogo vidogo vingi au kwa pamoja tunaviita lugha za kibantu, kimsingi katika makuzi ya lugha hii ndipo maneno mengi yakabadirika labda kutokana na makosanya kisarufi au ili kurahisisha matamshi, mfano unaweza kuniamini nikisema neno Mwalimu linapaswa kuandikwa Mualimu katika kiswahi linsahihi?
Last edited by a moderator: