Hili neno la kingreza "SHE" silipendiii !!

Hili neno la kingreza "SHE" silipendiii !!

Hiyo sarufi ya kuandika mutu badala ya mtu mimi siijui King Octavian. Kwa hiyo ni sahihi kusema/kuandika:Mutu mukubwa anakuja kututembelea kesho?

ndiyo ni sahihi, lugha ya kiswahili ni pana sana hasa kutokana na yenye kuundwa na vilugha vidogo vidogo vingi au kwa pamoja tunaviita lugha za kibantu, kimsingi katika makuzi ya lugha hii ndipo maneno mengi yakabadirika labda kutokana na makosanya kisarufi au ili kurahisisha matamshi, mfano unaweza kuniamini nikisema neno Mwalimu linapaswa kuandikwa Mualimu katika kiswahi linsahihi?
 
Last edited by a moderator:
a dog? are you kidding me?

u cant hear that kind of english in tanzania......kuna siku nilikuwa napita sehemu nikakuta bibi analia 'she has gone missing!!!' nikauliza kwa shauku sana nani kapotea mjukuu au mtoto wake...nikajibiwa 'princess her dog!!!!
 
Duh! i thought we use "it" when referring to animals
 
Duh! i thought we use "it" when referring to animals

kwa wenye lugha kumuita mbwa au pet yoyote 'it' ni rude!! wenyewe wanaita 'she'....unaweza kudhani wanazungumzia mtu kumbe ka-mbwa!!!!
 
kwa wenye lugha kumuita mbwa au pet yoyote 'it' ni rude!! wenyewe wanaita 'she'....unaweza kudhani wanazungumzia mtu kumbe ka-mbwa!!!!

hahahaa "mbwa" ndo maana silipendi hili neno, limekaa nje ya heshima kabisa kwa mtazamo wangu
 
Tatizo lako litakuwa limesababishwa na factors nyingine na si hilo neno "She". Hii ni kwa sababu ukiangalia kwa ufasaha wake , katika kiingereza huwezi kusema kwa mf;
"thats my she"! kama unavyodai mnatumia katika kiswahili chenu.
Nachoona mimi ni kuwa, kuna uwezekano umeathiriwa zaidi na
tafsiri ya kimazoea na si uhalisia wa tafsiri ya hilo neno. Katika kiingereza neno "she" halina maana ya kibinti, kisichana au rafiki wa kike, bali hutumika katika kuiwakilisha jinsia ya kike kwa ujumla wake.
 
Back
Top Bottom