Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Mi ningeshangaa,kiba amshinde diamond??, ni jambo moja la muda tu. Asiwadanganye mtu ,watu wa diamond ktk system ni wengi mno, unatumia YouTube kujaji quality ya msanii . Ukpiga kushoto watu wanapiga kulia.
 
Tusisahau hata domo media zilimbeba mpaka kafikia hapo alipo...

so sio issue media zikimbeba hata king kiba...
domo na timu yake mujipange naamini munajua mulipojikwaa.

musiporekebisha anguko kubwa zaidi laja.

USHAURI WA KITAALAMU.
Ule mpango wenu wa kutoa nyimbo tar 1 sept 2017 muuweke kando la sivyo mutakula za uso...

subirini upepo wa king upite ndio mutoe wimbo...na mukitoa muhakikishe hauna majungu ya kikekike la sivyo dogo poz kwa poz aka babake mtu atawanyea mukome na viranga vyenu.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Mond kajichanganya kwenye diss kamuinua jamaa ila wimbo wa kiba ni wa kawaida sana hata ule wimbo wa beka ununio upo juu sana
Vua gamba vaa gwanda...punguza mahabat ndoa ya jinsia moja inakunyemelea ukiendelea hivyo.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Mwana umeuwaaa...

kama wanajua kusoma game sasa wakosee kutoa wimbo wao wa tar 1 september....wakijitusu poz kwa poz atawadondoshea pin la kuwajibu nalo litawafunika kwa viewerz mitandaoni...

na wakidiss tena poz anawauwa kwa silaha za maangamizi...safari hiyo ommy atapost akimla denda tukinao...

ahahahahaa...mama mkanye mwanao...

king kiba team north korea team kiduku nyuklia weapons kama ugomvi wa mawe hayauzwi unajiokotea unalirusha tuu.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Hizo views zinatengenezwa tu,hazina uhalisia.
Okkkk.....tengenezeni zenu kesho muwe na views 20 milion....sallam na tale heshimuni nguvu ya umma...king anakubalika na simba afungashe virago...awe bize na kutukana wanawake zake .....maaaninaaaah Muziki mzuri unapenyaaaaa....

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Watanzania wachawi sana tena sana yani mtu akifanikiwa tuu anakuwa adui yao....hahahaha
Kwahiyo bill gates ni adui wetu...na mzee bakhresa jee ni adui wetu..?

Hoja yako haina mashiko...huyu domo tumemchukia kwa tabia zake chafu...

uvumilivu umetushinda tulipompandisha tunamshusha atapanda mwingine mwenye nidhamu na heshima kwa watu.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
alafu mkuu mm simchukii ali kiba nawachukua mashabiki wa ali kiba wa midomo michafu sana wanamatusi ya kila aina awakubali kuwa wamezidiwa kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sie tuna midomo michafu...una uhakika?

Kweli nyani haoni kundule....nipe kashfa moja ya boss wetu king kuwatukana watu mie nitakupa 10 za boss wenu domo kuwatukana watu mpaka kwenye tv live na hii ya juzi....

1÷kumtukana diva wa clouds

2÷kumtukana mobeto mzazi mwenzie

3÷hizo za wema ndio hazihesabiki

4÷kumtukana ommy live kwenye tv

5÷kuwatukana watu kibao kwenye nyimbo zake akiwamo mange kimambi
.
.
.
keeping good music alive.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Alitaka kiti akapewa na kitanda akalale kabisa mange kimavi yule ni malaya aliyeshindika wala anitishi walishapambana wengi mondi ashuke ila kila siku yupo juu ijumaa chuma kinatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ningekuwa mimi ndo Mondi ningefabya tu. Sio kwa matusi yale jamani

Hate me at your own risk
 
ulianza vizuri sana nikajua unabalance mada kumbe huku mbele unakuja kuharibu radha yote

pole mkuu maana hamna namna

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 

Hizi timu sasa kero we timu Domo?
 
Kiba ni super talented musician haitaji kiki za kis#nge ndio maana katoa ngoma hajadisiwa mtu ila imefunika taarabu ya walioshirikiana kundi zima #WhatTheF*ckingHell Malkia kinachomsumbua roho ya kwanini aliozaliwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…