Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusisahau hata domo media zilimbeba mpaka kafikia hapo alipo...Kiukweli kama mi ningekuwa Ali kiba ningeona aibu kwa mapokezi haya nisiyostahili. Ona jinsi Darasa alivyopenya kipindi kile na wimbo wake. Sasa huu wa nitongoze unapenyeshwa. Halafu hata ukimwambia mtu aseme maana yake anajiumauma tu. Neno lenyewe halimamkiki hadharani ndio maana akalificha kwenye kingereza.
Tulitegemea kama kweli ni wimbo mzuri kina Mange wauache ujipaishe wenyewe. Hakika ni wimbo wa muda mfupi sana sema media zimeamua kuubeba.
Vua gamba vaa gwanda...punguza mahabat ndoa ya jinsia moja inakunyemelea ukiendelea hivyo.Mond kajichanganya kwenye diss kamuinua jamaa ila wimbo wa kiba ni wa kawaida sana hata ule wimbo wa beka ununio upo juu sana
Umewajibu kitaalamu sanaaa....sijui kama watakuelewaJambo zuri ni kujua ulipokosea na kupafanyia marekebisho hayo mengine umeandika povu. Diamond hawezi Fanya shoo fiesta sababu ana mkataba na voda wakati fiesta udhamini ni tigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana umeuwaaa...Story Ilianzia kwenye Fresh pale Cinderela alipotajwa
Ally akaja na Twitter Akajibu na Malikia wa nguvu akatajwa
Naseeb akarud na Verse ya Pili Omari nae akahusishwa
Omari akaona sio Case na Mama Chibu akapostiwa
Ally Akamaliza na Seduce Me Kick ikaanza
Wasafi wakaja na Zilipendwa Bifu likaongezewa
Mwisho wa siku Kiba ana 2M Viewers na Zilipendwa ina 1.3m Viewers
Chibu Ulicheza mchezo wa Ally Bila kutegemea na mwisho wa Siku Ally ameshinda
Next Time Play your Cards well Bro.
Okkkk.....tengenezeni zenu kesho muwe na views 20 milion....sallam na tale heshimuni nguvu ya umma...king anakubalika na simba afungashe virago...awe bize na kutukana wanawake zake .....maaaninaaaah Muziki mzuri unapenyaaaaa....Hizo views zinatengenezwa tu,hazina uhalisia.
Kwahiyo bill gates ni adui wetu...na mzee bakhresa jee ni adui wetu..?Watanzania wachawi sana tena sana yani mtu akifanikiwa tuu anakuwa adui yao....hahahaha
Hivi hiyo eneka ndio ule wimbo ulioibwa toka kwa Davido IF....keeping good music alive.Kwanza ondoa neno zimebuma![]()
Sie tuna midomo michafu...una uhakika?alafu mkuu mm simchukii ali kiba nawachukua mashabiki wa ali kiba wa midomo michafu sana wanamatusi ya kila aina awakubali kuwa wamezidiwa kwa kila kitu![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu kasikilize tenaHivi hiyo eneka ndio ule wimbo ulioibwa toka kwa Davido IF....keeping good music alive.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Alitaka kiti akapewa na kitanda akalale kabisa mange kimavi yule ni malaya aliyeshindika wala anitishi walishapambana wengi mondi ashuke ila kila siku yupo juu ijumaa chuma kinatokaSie tuna midomo michafu...una uhakika?
Kweli nyani haoni kundule....nipe kashfa moja ya boss wetu king kuwatukana watu mie nitakupa 10 za boss wenu domo kuwatukana watu mpaka kwenye tv live na hii ya juzi....
1÷kumtukana diva wa clouds
2÷kumtukana mobeto mzazi mwenzie
3÷hizo za wema ndio hazihesabiki
4÷kumtukana ommy live kwenye tv
5÷kuwatukana watu kibao kwenye nyimbo zake akiwamo mange kimambi
.
.
.
keeping good music alive.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Hata ningekuwa mimi ndo Mondi ningefabya tu. Sio kwa matusi yale jamaniUmejitahidi kuonyesha uwezo wako unapofikia, mie napenda muziki mzuri napenda nyimbo nzuri alizoimba mond na alikiba. Lakin kwa alichokifanya mond ni cha kuanzisha bifu la kijinga ili alikiba akitoa nyimbo ibume. Kadhihirisha ana roho mbaya na Mungu huwapinga wenye kiburi na kujikweza kweli kaabika vibaya na wale mashabiki ambao yanashabikia hata ujinga sawa tu. Mziki wa kiba Ni level nyingine kabisa umchukie umkubali watanzania wamesema yes.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..
Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na wewe utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.
Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatizo ni Udiamond wako. Tatizo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatizo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil Mbagala. Eti unalinga..Diamond we huRingi..but unajua thamani yako.
Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipindi chao juzi.. eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti Kiba mkali sana. Haumuwezi.
Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina Dulla, Kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.
Hii yote ni fiesta tu.. anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show (kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwezi kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya Dar tu.
Diamond hauna dharau kabisa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti Sallam hakufai.. Sallam anakufaa sana, lazima uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.
Ushauri
1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media (unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile(ongea na Mlezi wenu, hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti wewe kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe.. hakuna msanii alikua juu ya Media.
2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu.. haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.
3- Zikaushie siasa. Naishia hapo.
Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakumbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa.. mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu kama wakina shish baby, killer, stamina..n.k
Clouds wamedhamiria kukushusha kabisa. Hawakuchukii tatizo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwa hiyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.
Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.
Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho
Kibakuli ni anabebwa sana.. but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatizo Kiba uwezo mdogo.
Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!
Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana.. pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwa hiyo vitimu vyao visivyo hata na us a hook tegemea tu matusi yao.
Seduce kwa upande wao inaweza kuwa nzuri but haifanyi eti ndiyo Kibakuli ndiyo ameshakuwa juu ya Diamond, kwa kipi?
MTV wanasema Diamond anaipeleka Tanzania to the World. Huyu msanii wenu anaitoa Tanzania to Mombasa. Eti diamond kamtukana mobeto..we ungemjua mobeto bila diamond. Kanyimbo kenyewe kabaya tu.
Ruge ni bepali anaangalia maslahi zaidi ya utu. Fatilia connection kati ya Rockstar TV na clouds Media. Wana mkataba kwa ajili ya kusupport mziki wa ndani. Kwa sasa alikiba nae ni director wa rockstar.
Huyu binti seven mosha raia wa Kenya na mtangazi wa zamani wa clouds ndiyo ana injia haya yote. Kwa vile diamond hapendi kusema tu but huyu binti kambania sana zamani kipind diamond anataka kupigia nyimbo zake MTV base ya afrika seven akiwa mfanyakazi wa MTV base.
Wanaukawa msiingie mtego huu. Msameheni kwa nyimbo ile