Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

We nae, nani kakwambia ana mchukia? Lini Diamond alisema ana mchukia Kiba? Ni nyie ndio mnayakuza mabeef ya kijinga. Hivi kwa akili yako unaona Mond ana shughuli na Kiba? Mondi wapinzani wake ni akina Davido, Tekno and Wizkid, sio Ali Kiba. Hiyo roho mbaya angekua nayo angefanya kolabo zoote alizofanya na wasanii wengine Tz? Acheni kuyakuza mambo na mumuache Mondi wa watu amefika alikofikia kwa juhudi zake na Mondi ndio msanii pekee Tanzania aliyeipeleka Bongo Flava international.
 
Unatumia muda mwingi hicyo kuandika huo upupu

Sent from home
 

We hujui chochote ..Seven mchaga wa wapi? Na sev
Kitu ambacho hawawezi
 
Kwa leo tu kuanzia saa sita mpka saa kumi nyimbo ya kibakuli imepigwa mara tatu pale Clouds yani jamaa wanavyo mpromote dah.
 
Unasahau kuwa kiba ameanza kupendwa hata kabla ya mond kutoka

Hawa kila mtu ana mashabiki wake na mziki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini hata mimi binafsi nlikuwa namkubali Ali kiba enzi za nakshi nakshi lakini kwa sasa sioni kipya anacholeta ndani ya bongo fleva pamoja na ukongwe wake
Ukija kwa mond sasa mziki kaubadili umekuwa ni ajira rasmi kwa Tanzania single moja una mjengo tayari sio hao kina kiba wanaleta enzi za album na kiba hana mashabiki kwa sasa zaidi ya haters wa mond

Sent from my Phillips Savy
 
Waliompandisha ndo watakao mshusha

Siwez mfagilia huyo alotutukana wanawake Wa bongo kisa huyo bibi zari,

All in all mwalim ni mwalim tu hata ukimzid pesa

invest what you are willing to lose
Sasa bongo kuna demu ww mwenyewe shombo tupu wakata visimi
 
Darasa Hutu darasa cha pombe nimjuavyo Luna wasanii walitoa lanyimbo kao kamoja wakisikika nchi nzima kichwa kina waka ndio darasa pombe ziliuwa vibaya
 
Hivi humu kuna watu wanamlinganisha Mondi na chipukizi Alikiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…