Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

2c59a4b3857b1011776c5c4239aeca06.jpg
Oliva Ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia nikwambie sasa diamond ana roho ya kibinafsi hataki hata msanii mwingine asikike lkn kiba kakubalika na mashabiki kutokana na uimbaji na mpangilio wa melody , sasa huyo diamond akiona hivo hataki na roho yake ya kisokorokwinyo , kuhusu mafanikio yao mm cjui maana hakuna nayemtunzia hela kati yao ila swali je kama mond anamzidi kila kitu kiba kwann amchukie??kwann amuumize kichwa?? Kwann amchokoze upya wakati bifu hilo ss tushalisahau?? Naomba majibu yenye mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
We nae, nani kakwambia ana mchukia? Lini Diamond alisema ana mchukia Kiba? Ni nyie ndio mnayakuza mabeef ya kijinga. Hivi kwa akili yako unaona Mond ana shughuli na Kiba? Mondi wapinzani wake ni akina Davido, Tekno and Wizkid, sio Ali Kiba. Hiyo roho mbaya angekua nayo angefanya kolabo zoote alizofanya na wasanii wengine Tz? Acheni kuyakuza mambo na mumuache Mondi wa watu amefika alikofikia kwa juhudi zake na Mondi ndio msanii pekee Tanzania aliyeipeleka Bongo Flava international.
 
Unatumia muda mwingi hicyo kuandika huo upupu

Sent from home
 
Hata ukipewa kazi ya kuchafua na ujue ukiambiwa safisha uasafiahaje njaa itakuua maana unaandika vitu hata details huna mdogo wangu
1.Hujui tofauti kati ya Hit song na popular song hujui nani hit maker nani song writer na sikuambii sitaki nikupe faida kaa na ujinga wako
2.Waliompandisha diamond siyo clouds?acha wivu wa kijinga kwahiyo unatamani miaka yote diamond atawale mziki wetu wapumbavu kama nyie ni wengi na ndiyo maana sanaa yetu haikui kwa kutokuwa na mipango ya kuzalisha watu wapya alafu mnataka kushindana na Nigeria na south africa bora hata ungewazungumzia wale vijana rayvan rich mavoko au harmonize
3.Media kubwa kuliko msanii umeshaongea unajokanyaga tuu nikusahihishe usiingize ishu zako binafsi kwa ruge au labda umetumwa na bashite ile ni system ya kukuza mziki au mabadiliko na mabadiliko siku zote yanakuja na sura tofauti yanaweza kujenga au kubomoa sawa form 4
4.Seven ni mchaga yule na hajawai fanya kazi clouds
5.hili la fiesta siwez kulisemea ila nna uhakika na wewe hujui pia kwa taarifa yako mwaka jana Diamond alienda kuomba mwenyewe kuperform fiesta ya Dsm baada ya kuona clouds wamempotezea soo uliza mambo kaka
6.Inaonekana Sallam ndiyo aliyekupa kazi ya kuandika huu uzi humu unamjua sana au shemeji yako nini maana unamjua hadi alipotoka haya tuambie kampuni yenu wewe na sallam ya Dizzim Online mmepata ofisi mpya naskia pale pa zamani mmefukuzwa wanaume wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe
7.Diamond ni brand tena kubwa mim mwenyewe nmeanza kula karanga zile baada ya kuona jina la diamond na matangazo yake Diamond ni mkubwa sana haina haja ya kushindana na Ally kiba tatizo la Diamond hao Clouds ndo wamempa Jeuri ya kuvimbia media zengine earadio efm times sijui kama wanapiga nyimbo zake eti una mshauri amfate boss wenu Bashite amalize tatizo maji ya shingo eeh




Sent using Jamii Forums mobile app

We hujui chochote ..Seven mchaga wa wapi? Na sev
watu wakifurahia mziki wa kiba eti wanataka kumshusha mondi.. hivi mnataka msanii awage mond peke yake? mbona hata mondi akitoa nyimbo nzuri wanampa promo tu...
basi andaeni muswada muupeleke bungeni iwe marufuku kutoa nyimbo nzuri kuliko za mond tujue moja
Kitu ambacho hawawezi
 
Kwa leo tu kuanzia saa sita mpka saa kumi nyimbo ya kibakuli imepigwa mara tatu pale Clouds yani jamaa wanavyo mpromote dah.
 
Unasahau kuwa kiba ameanza kupendwa hata kabla ya mond kutoka

Hawa kila mtu ana mashabiki wake na mziki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli lakini hata mimi binafsi nlikuwa namkubali Ali kiba enzi za nakshi nakshi lakini kwa sasa sioni kipya anacholeta ndani ya bongo fleva pamoja na ukongwe wake
Ukija kwa mond sasa mziki kaubadili umekuwa ni ajira rasmi kwa Tanzania single moja una mjengo tayari sio hao kina kiba wanaleta enzi za album na kiba hana mashabiki kwa sasa zaidi ya haters wa mond

Sent from my Phillips Savy
 
Waliompandisha ndo watakao mshusha

Siwez mfagilia huyo alotutukana wanawake Wa bongo kisa huyo bibi zari,

All in all mwalim ni mwalim tu hata ukimzid pesa

invest what you are willing to lose
Sasa bongo kuna demu ww mwenyewe shombo tupu wakata visimi
 
Hapa hakuna public sympathy mkuu, ubora wa kazi unaongea.Tatizo la Diamond anaamini yupo juu na anatakiwa kubakia hapo kwa namna yoyote ile.Anatumia nguvu kubwa kupigana vita na kazi za wasanii wengine ili ionekane kazi nzuri zinazalishwa na record label yake.At first tulidhani anafanya hivi kwa Kiba tu but tuliona nguvu kubwa aliyotumia kujaribu kuizima Muziki ya Darasa but akashindwa.Uhusika wake katika sakata la kupotea kwa ROMA kwa kutoa ngoma ya kutatanisha nayo ilimgharimu pasipo yeye kuliona au pengine ni uchaguzi alioamua kuufanya, upuuzi wa FRESH ndio ikawa kama kuongezea chumvi katika kidonda kibichi.Hii vita anayo ichochea now imemtokea kwani karelease ngoma kwa dhamira ya kuzima ngoma ya mwenzie na sasa ime backfire vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa Hutu darasa cha pombe nimjuavyo Luna wasanii walitoa lanyimbo kao kamoja wakisikika nchi nzima kichwa kina waka ndio darasa pombe ziliuwa vibaya
 
Hivi humu kuna watu wanamlinganisha Mondi na chipukizi Alikiba
 
Back
Top Bottom