Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Zipi zimebuma. I miss you viewers 4 million + , fire 3 milion + , eneka 4.5 million + ...imebuma IPI
Sasa kama yeye ametoa nyimbo 3 kaona zimebuma kwa nini alikuwa anahangaika kumuamsha aliyelala mwaka mzima?
 
Zipi zimebuma. I miss you viewers 4 million + , fire 3 milion + , eneka 4.5 million + ...imebuma IPI
Una uhakika na views ulizotaja au umetaja kishabiki? Tuanze kwanza kwa kujibu swali una uhakika?
 
Mi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Wabwabwajaji hilo hawalijui mkuu hata domo mwenyewe alisema,kua hawezi changanya maji na mafuta mleta mada ni mchonganishi wa kiwango cha hali ya juu
 
Kawatukana lini
 
Mi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Mwenyewe namshangaa, anaandika majitu mengi ya kutetea mtu. Ungekuwa na nia ungemwambia yeye, hapa unatafuta tu kuongeza team.

NB: SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma maelezo yako nkaona umekuwa na mtiririko mzuri mpaka nikaanza kushawishika na kuhisi ulichoandika ni kweli mpaka ulipotibua kwa kusema Seven Mosha ni mKenya!!!? Seriously!!?[emoji33][emoji33][emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We MTU mzima unatoka mishipa kuwapigania watu waliojiajir?

Hivi we zinakutosha kweli

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao

Sent from my Phillips Savy

ila ndie aliemzaa mond au?
 
Really talk bro, nimependa ujumbe wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mm hiyo signature ndo inaniachaga hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo signature mkuu lipotezee...hata mkemia mwenyewe anajua.....

hawa watoto wa kambo wasumbufu kweli. Wanataka kumgombanisha mama yao na mumewe sijui kwa baridi hili watamtia joto kwa blanketi au watamkokea moto aote.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawana adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…