Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Zipi zimebuma. I miss you viewers 4 million + , fire 3 milion + , eneka 4.5 million + ...imebuma IPI
Sasa kama yeye ametoa nyimbo 3 kaona zimebuma kwa nini alikuwa anahangaika kumuamsha aliyelala mwaka mzima?
 
Zipi zimebuma. I miss you viewers 4 million + , fire 3 milion + , eneka 4.5 million + ...imebuma IPI
Una uhakika na views ulizotaja au umetaja kishabiki? Tuanze kwanza kwa kujibu swali una uhakika?
 
Mi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Wabwabwajaji hilo hawalijui mkuu hata domo mwenyewe alisema,kua hawezi changanya maji na mafuta mleta mada ni mchonganishi wa kiwango cha hali ya juu
 
Kawatukana lini
mwerevu akivuliwa nguo huchutama......
[HASHTAG]#mshauribosswako[/HASHTAG].
Leo hii anawatukana wabunge na matajiri hapo hawazi kama show zake za m1 wao ndo walikuwa wanajaza viti. kesho akiitisha show wasipoenda utasema tena clouds wamewazuia watu wasiende....
BTW kabla sijasahau ulishahudhuria show ngapi zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Mwenyewe namshangaa, anaandika majitu mengi ya kutetea mtu. Ungekuwa na nia ungemwambia yeye, hapa unatafuta tu kuongeza team.

NB: SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma maelezo yako nkaona umekuwa na mtiririko mzuri mpaka nikaanza kushawishika na kuhisi ulichoandika ni kweli mpaka ulipotibua kwa kusema Seven Mosha ni mKenya!!!? Seriously!!?[emoji33][emoji33][emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We MTU mzima unatoka mishipa kuwapigania watu waliojiajir?

Hivi we zinakutosha kweli

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
its true aisee...Ni project ya clouds..hahahah

upload_2017-9-4_16-8-24.png
 
Mkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao

Sent from my Phillips Savy

ila ndie aliemzaa mond au?
 
Fiesta inaanza lazima Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazima Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwanini inapokaribia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba kupandishwa. Juzi umejichanganya mwenyewe ulipoambiwa changamsha mziki kwa bit LA fresh eti wanasiasa wana kiki now..ukatoa verse, ukajichanganya..imekucost..

Ruge ni mtanzania mbunifu lakini ana roho mbaya sana na mafanikio ya wasanii. Anapenda awanyonye tu wasanii. Wasanii msiungana kumkataa Ruge atawasumbua sana.

# stop ruge

Kiba katoa nyimbo, kuna mdau 1 clouds akaniambia usiku na wewe utatoa nyimbo..ukatoa..ikakucost tena.

Nasibu Abdul hajawahi kuwa adui na Clouds Media. Tatizo ni Udiamond wako. Tatizo ni kuwa maarufu zaidi yao nje na ndani ya Nchi. Tatizo bei yako ya show..napenda spirit yako..unajua hata shigongo anakuchukia sana..kisa tu ulikataa kupiga show kwa 10 mil Mbagala. Eti unalinga..Diamond we huRingi..but unajua thamani yako.

Sisi wadanganyika tunaaminishwa eti Kiba mkali..seriously..?? Shilawadu wadau wako walikuponda sana kwenye kipindi chao juzi.. eti hata kutukanwa ulijitakia.., 360 Leo wamemaliza kabsa..eti Kiba mkali sana. Haumuwezi.

Kiba anapandishwa kwa sababu ya Fiesta. Hawa wakina Dulla, Kimambi mkumbo tu wanacheza ngoma wasiyoijua.

Hii yote ni fiesta tu.. anatafutwa msanii aonekane anacaliba yako but bei yake ndogo. Kiba atazunguka Fiesta zote kwa malipo ya 3 milion kwa show (kiba huwa anapiga show hata club hii pesa) wewe huwezi kukubali hii. Fiesta watakayoweza kukulipa ni ya Dar tu.

# stop ruge

Diamond hauna dharau kabisa, upo humble, msela..mcheshi..!! Watu wanakushauri eti Sallam hakufai.. Sallam anakufaa sana, lazima uwe na meneja msela, mwana, muhuni,.msela sallam wa forest Moro kazi anaifanya vizuri sana.


Ushauri
1- Kuwa na wigo mkubwa wa Media (unajua hata efm hawapigi ngoma zenu kivile(ongea na Mlezi wenu, hili dogo kwake) wakina dulla wanasema unadharau sana. Eti wewe kila kitu clouds yaani wao unawachukulia poa. Ongea nao yaishe.. hakuna msanii alikua juu ya Media.

2- Imarisha brand & PR. Tafuta mtu wa kupost picha zako na kuandika kwenye account yako. Wewe ni mzuri kwenye kuimba tu.. haya ya kupost mtafute mtu sahihi. Usiwape sababu..
Juzi umeandika bitch dying for fame..usinge andika bitch..ungecheka tu basi.

3- Zikaushie siasa. Naishia hapo.


Last, kiba siyo size yako. Kuwa makini sana na Clouds unakumbuka fiesta ya mwaka juzi walivyoinjinia mpaka ukazomewa.. mwaka Jana hukushiriki na mwaka huu usishiriki. Andaa show zenu wenyewe na wapambe wenu kama wakina shish baby, killer, stamina..n.k

Clouds wamedhamiria kukushusha kabisa. Hawakuchukii tatizo bei yako. Clouds wanaamini wao ni wakubwa sana kwa hiyo hutakiwi ku bagairn. Wasanii bila kuwa kitu kimoja mtakawanywa sana.

Kwepa kumzungumzia kibakuli au yule sijui mange Kimavi asiye jua hata mipaka yake.


Sangoro sangoro sangoro...X 3
Ooohh ooooh ohhhho

Kibakuli ni anabebwa sana.. but laiti angekuwa na kipaji hata robo yako tungeongea mengine..tatizo Kiba uwezo mdogo.

Kwani kale ka mange kimavi kanakupa homa kale..!!

Kuchukiwa na Wema, Jokate, Penny, Wolper hiyo kawaida sana.. pay the price brother. Ulikula wote hawa. Ulifaidi japo. Kwa hiyo vitimu vyao visivyo hata na us a hook tegemea tu matusi yao.

Seduce kwa upande wao inaweza kuwa nzuri but haifanyi eti ndiyo Kibakuli ndiyo ameshakuwa juu ya Diamond, kwa kipi?

MTV wanasema Diamond anaipeleka Tanzania to the World. Huyu msanii wenu anaitoa Tanzania to Mombasa. Eti diamond kamtukana mobeto..we ungemjua mobeto bila diamond. Kanyimbo kenyewe kabaya tu.

Ruge ni bepali anaangalia maslahi zaidi ya utu. Fatilia connection kati ya Rockstar TV na clouds Media. Wana mkataba kwa ajili ya kusupport mziki wa ndani. Kwa sasa alikiba nae ni director wa rockstar.

Huyu binti sevena mtangazi wa zamani wa clouds ndiyo ana injia haya yote. Kwa vile diamond hapendi kusema tu but huyu binti kambania sana zamani kipind diamond anataka kupigia nyimbo zake MTV base ya afrika seven akiwa mfanyakazi wa MTV base.

Diamond akipata viewers wengi Youtube na vevo mnasema ananunua viewers.. Mnasema janja janja. Kiba kapata viewers wengi wala hamsemi mambo ya kununua.

Wanaukawa msiingie mtego huu. Msameheni kwa nyimbo ile.

# stop ruge
Really talk bro, nimependa ujumbe wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mm hiyo signature ndo inaniachaga hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo signature mkuu lipotezee...hata mkemia mwenyewe anajua.....

hawa watoto wa kambo wasumbufu kweli. Wanataka kumgombanisha mama yao na mumewe sijui kwa baridi hili watamtia joto kwa blanketi au watamkokea moto aote.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Ilo signature mkuu lipotezee...hata mkemia mwenyewe anajua.....

hawa watoto wa kambo wasumbufu kweli. Wanataka kumgombanisha mama yao na mumewe sijui kwa baridi hili watamtia joto kwa blanketi au watamkokea moto aote.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawana adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom